Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

Status
Not open for further replies.
Umughaka I have so much respect for you bro!
Alichofanya genta ni kukuvuta kwenye level zake na ukakubali, kwa hiyo amefanikiwa. Lakini bado una muda wa kuukwepa huo mtego maana yeye yuko kwenye level zake atakugaragaza, ungemwacha agaregare hapo pekeyake.
Screenshot_20230709-094508~2.png
 
Muwe mtu bee tu ila mrecord basi na kavideo baada ya pambano mkatupie huku tuone ilikuaje.
 
Nahitaji pambano na yeye,huko pm nahitaji tuchati wawili na tukubaliane sehemu ya kukutania tukiwa wawili tu ili tuzitwange na asiwepo wa kuamua ugomvi hadi atakaye ona kazidiwa akimbie.
GENTA yupo kwenye bajaji mida hii anatoka vingunguti kununua makongoro.
Kwa ajili ya wateja wake jioni.
Screenshot_20230709-095228_Google.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom