Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Mimi ni wabara, ila bora kila nchi ijitegemee, utaona znz itakavyoendeleaHahaha Watanganyika wajinga sana, ukiiangalia Zanzibar kwenye ramani halafu ndio wanatawala Tanganyika unaweza kusema tumelaaniwa.
Tuuvunje kila mmoja akae kwao.
Hahaha iendelee tu, haitakuwa ya kwanza. Ila kila mtu akae kwake.Mimi ni wabara, ila bora kila nchi ijitegemee, utaona znz itakavyoendelea
Kabisa!Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Ndiyo, alipaza sauti ndiyo sababu alibambikwa kesi ya uongo akapimwa mkojo.Gwajima amekua muongeaji kipindi cha mama, wakati wa magu ulishahi kumsikia akipaza sauti? Mauaji ya watu wasiojulikana ulishamsikia akimkoromea magu?
Nenda burundi mama ndie mgombea kwa ccm ndie mshindiKafie kuzimu
Majudhubu ndo nyie sasa, Gwajima anapelekwa Central waumini wanakuja na costa wanaimba, Magu anapanic hadi anasema IGP angewaweka wote ndani mara anapelekwa hospitali chini ya ulinzi anapimwa mkojo anapigana vita na bashite back to back alikua Dorothy au?Gwajima amekua muongeaji kipindi cha mama, wakati wa magu ulishahi kumsikia akipaza sauti? Mauaji ya watu wasiojulikana ulishamsikia akimkoromea magu?
Ujumbe uwekwe kwenye bill board barabarani
Katika Damu ya YesuHuyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Napenda hapo mnapo iita tanzania iwekwe Tanganyika plzHuyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Wakati lissu ana mkemea jpm ,yule gwajima anamkumbatia jpm, siku nyingine kumlinganisha lissu na vitu vya ovyoNdiyo, alipaza sauti ndiyo sababu alibambikwa kesi ya uongo akapimwa mkojo.
Licha ya hayo kwanini hamtaki watu wakemee utekaji na mauaji kisa mtawala ni dini yenu?
Mnafaidika vipi kwa damu za watu kumwagika?
Mfano, mbona Lissu alimkemea mara nyingi Magu hadi kidogo auawe licha ya kuwa wote wawili ni Wakatoliki?
Tanganyika ni maitiNapenda hapo mnapo iita tanzania iwekwe Tanganyika plz
Mzanzibar hana kwao maana ni mtumwa toka sehemu mbalimbali ndio maana hana kabila, mara nyingi watumwa ni wa kutwaliwa tu hakuna namna nyingine.Hahaha Watanganyika wajinga sana, ukiiangalia Zanzibar kwenye ramani halafu ndio wanatawala Tanganyika unaweza kusema tumelaaniwa.
Tuuvunje kila mmoja akae kwao