Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

Mkuu nataka kuja SA naomba nisaidie ila mimi nakuja na kianzio ili nisiwe mzigo kwako nimejichanga changa nmepata 1.5M ya kiTz na hela ya nauli pemben ila nmekua mzito kuja huko maana sijawahi kufika huko na sina ninae juana nae huko na nmeskia wa Tz weng wa huko unaweza ukafikiri n msaada kumbe umejipeleka kwenye mdomo wa mamba ila ww nahisi utakua tofaut kutokana na moyo wa kusaidi nataka nianzishe hata kuuza matunda tu ila nahitaji masaada wako unipe muongozo tu.
1.5 unaweza kufanya kitu Tanzania ukituliza akili yako vizuri chini.
Lakini SA mbona hakuna complications kuingia?? Kinachowafanya hawa ndugu zetu kupita hizo njia za hatari mpaka wengine kuliwa na viboko ni nini??
Papers, South Africa lazima uwe na passport ya kitabu na siyo zile temporary wanazochukuwa hao vijana, na ukifika airport au border lazima uoneshe show money (Pocket money) to cover ur stay.
Labda atuelekeze hapo park station jamaa alikua kakaa analia kajiinamia. Labda sio SA
Absolutely his lie. Labda Kama Kuna code kwenye hili andiko lake
Labda ni Park station New York USA.
hata hivyo wabongo waliopo kwa kaburu wala hutakiwi kuwaongelea, kwasababu ni hawa wahamiaji walioenda kinyume na sheria. hao ogopa kama ukoma hadi ujambazi na kuua watz wenzao wanafnaya huko south. ila kwa ulaya labda kidogo wale walioenda kusoma na sio wale waliofeli maisha wanahangaika tu kwa kuishi huko, wanajifanya wajuaji na ukiingia cha kike wanakuzunguka na kukufanya mbala.
Nimeishi ulaya, usiongee usichokijuwa, have a seat.
Halafu tukisikia kauwawa tunaanza ooh RIP
Kumbe majizi tu
Si kila anayeuwawa ni mwizi, hapana, South kuna highest crime and gun is free.
Mkuu niwe mkweli tu kwamba kwa sasa siwezi kukushauri uje Kaburu. Si kwamba nakukataza ili kukwepa kukusaidia, bali ni kulingana na uhalisia wa hali ya nchi kwa sasa. Nchi hii kwa muda wa miaka miwili iliyopita, imepitia katika misuko suko mikubwa mitatu ambayo imeharibu kabisa uchumi wake. 1) msuko suko wa kwanza ni ule uliyotokea tar 13/9/ 2019 ambapo wazawa walianzisha fujo na vurugu dhidi ya wageni hadi kupelekea baadhi ya kampuni kubwa za kigeni kufungwa, 2) msuko suko wa pili ni ule wa kufunga mipaka ya nchi na watu kuwekwa ndani bila kutoka kutokana na janga kubwa la uviko, 3) msuko suko wa tatu ni ule mshike shike uliotokea miezi kama miwili iliyopita baada ya mkuu wa nchi mstaafu kukamatwa, ulifanyika uharibifu mkubwa ambao mpaka sasa umeacha doa. So kutokana na hayo yaliotokea mambo mengi yamebadilika. Mfano vijana wengi wamepoteza ajira, vyakula vimepanda bei, kodi za nyumba hazishikiki, vibaka wameongezeka mitaani, biashara za matunda zimekuwa kila kona kiasi kwamba uuzaji umekuwa wa mdondo nk. Kwahiyo kwa uchache ni ngumu sana kukushauri uje maana inaweza kufika kipindi ukanilaumu kwa kukuacha uje bila kukwambia hali halisi. Kwa sisi ambao tuko hapa muda mrefu na tunafanya shughuli zetu ni sawa, maana tunajua tuingilie wapi na tutokee wapi ila sio kwa mgeni ndugu yangu.
Mwaka 1994 nilikuwa hapo sikupiga kura lakini nilipiga kura uchaguzi wa Thabho Mbeki, hayo mnayoyaona leo hakuna geni, tulihama chimbo hilo tangu mwaka 2000 millenia, hakuna jipya ni yaleyale tu na yataendelea milele, historia yake ni ndefu.

Sehemu kama Rose bank, Sandton City ilikuwa ukionekana mtu mweusi lazima golf ya police isimame wakuhoji, leo mnazurura kote huko.
Aliniacha hapo hapo.
Ooh yeah.
Kati ya watu wa mwisho kuwaamini ni vinyozi
Hakuna waaminifu kama vinyozi, unanyowa unalipa pesa yako unasepa, hawa ndio mafundi wakweli. Basi waamini seremala.😜😜
Kwa namna ulivojibu hapa unaonesha busara kubwa sana,nami niliposoma hapa niliwaza sana na nikangoja utajibu nini,binafsi nimeishi sana SA na hapo park station napajua kidogo ukweli ni kwamba watanzania hatuna sifa njema SA binafsi nilijulikana kama mrundi Capetown tangu naingia hadi naondoka
Urundi wako ni wa permit uliyokuwa unatumia lakini huwezi kuishi kwenye jumuiya ya Warundi acha kudanganya watu.
Labda code kwa mbali sana ni kuwa jamaa yuko SA ana roho nzuri na anaweza kukusaidia kukutafutia kazi ila kwa Park Station kumsaidia mtu na ukaenda nae hadi kwako na kuishi nae kama ndugu jamaa anastahili tuzo ya nobel
Nadhani inabidi achongewe sanamu likae pale New York tuondowe lile sanamu maarafu la Mother of liberty.
Pole sana mkuu kumbe tupo wengi tulio amua kusaidia wenzetu baadae wakatutenda vibaya, da nimeamini Allah (Mungu) mjuzi wa kila kitu Kama alivyotamka kwenye maandiko,

kwakuwa aliamua kutuumba binaadamu kisha akaumba moto akijua kabisa wapo Wapumbavu ambao adhabu yao ni kuwaingiza kwenye huo moto wa jehanamu kwa sababu ya yale maovu waliyo yatenda wakiwa duniani.

Kisha Mungu akasema kwa yule aliyetendewa mabaya na binaadamu mwenzake basi manung'uniko yake au huzuni alizopata baada ya kutendwa basi hayo manung'uniko yako ni Dua tosha itakayomfanya mtendaji asifike popote ikiwezekana kuangamia, mwisho wa kunukuu;
Umekaririshwa ujinga, watu wasiofuata mambo ya dini wala kumuamini Mungu ndio wanaokula good time hapa duniani.
Duuh mkuu haid sasa kuna watu wanazamia Europe na US kwa meli...! ? Si itakuwa rahisi kukamatwa?
Hiyo michezo ipo kwa timing maalum, na vijana huwa wanakula maisha mbelez huko.
Ila now days makaptain wa meli wamechoka kupigwa fine ikijurikana meli yao ndio ilimpa shavu store away bila kumkabidhi kwa mamlaka ya final port, nitaleta thread maalum kutowa somo kuhusu hili.
Ukipata connection nzuri ya watu wanaojitambuwa na wewe ukiwa humble, plus muongeaji mzuir na watu ya mwepesi kumwin mtu.. utafanikiwa haraka huko
Hivi wewe uko serious kweli?
Complications zinaaznia kwenye PASSPORT...hahaha vijana wengi wanozamia una kuta wakifika pale uhamiaji zile process zinawashinda vigezo na masharti!

Mwingine hiyo 150 anaona bora aitumie kama nauli safarini.. so unakuta hawana papers
Hili ni kweli tupu.
 
1.5 unaweza kufanya kitu Tanzania ukituliza akili yako vizuri chini.

Papers, South Africa lazima uwe na passport ya kitabu na siyo zile temporary wanazochukuwa hao vijana, na ukifika airport au border lazima uoneshe show money (Pocket money) to cover ur stay.

Labda ni Park station New York USA.

Nimeishi ulaya, usiongee usichokijuwa, have a seat.

Si kila anayeuwawa ni mwizi, hapana, South kuna highest crime and gun is free.

Mwaka 1994 nilikuwa hapo sikupiga kura lakini nilipiga kura uchaguzi wa Thabho Mbeki, hayo mnayoyaona leo hakuna geni, tulihama chimbo hilo tangu mwaka 2000 millenia, hakuna jipya ni yaleyale tu na yataendelea milele, historia yake ni ndefu.

Sehemu kama Rose bank, Sandton City ilikuwa ukionekana mtu mweusi lazima golf ya police isimame wakuhoji, leo mnazurura kote huko.

Ooh yeah.

Hakuna waaminifu kama vinyozi, unanyowa unalipa pesa yako unasepa, hawa ndio mafundi wakweli. Basi waamini seremala.[emoji12][emoji12]

Urundi wako ni wa permit uliyokuwa unatumia lakini huwezi kuishi kwenye jumuiya ya Warundi acha kudanganya watu.

Nadhani inabidi achongewe sanamu likae pale New York tuondowe lile sanamu maarafu la Mother of liberty.

Umekaririshwa ujinga, watu wasiofuata mambo ya dini wala kumuamini Mungu ndio wanaokula good time hapa duniani.

Hiyo michezo ipo kwa timing maalum, na vijana huwa wanakula maisha mbelez huko.
Ila now days makaptain wa meli wamechoka kupigwa fine ikijurikana meli yao ndio ilimpa shavu store away bila kumkabidhi kwa mamlaka ya final port, nitaleta thread maalum kutowa somo kuhusu hili.

Hivi wewe uko serious kweli?

Hili ni kweli tupu.
SA ikishindikana ntajaribu hata Botswana lakini hapa home sijioni nikiishi Tena japo sijui saa wala siku ya kuondoka
 
Changamoto sana mkuu... Botswana kwenyewe nasikia kumezorota sana.. embu pitia vlog video za youtuber wale wanaosafrir safiri ufuatilie upande wa kijchumi biashara hali iko vipi kwasasa?

Pengine utapata idea ya kitu utakachokwenda kukutana nacho huko
 
Hiyo michezo ipo kwa timing maalum, na vijana huwa wanakula maisha mbelez huko.
Ila now days makaptain wa meli wamechoka kupigwa fine ikijurikana meli yao ndio ilimpa shavu store away bila kumkabidhi kwa mamlaka ya final port, nitaleta thread maalum kutowa somo kuhusu hili.
Ooh!
Nausubiri uzi huo ... usisahau kunitag mkuu!
 
Complications zinaaznia kwenye PASSPORT...hahaha vijana wengi wanozamia una kuta wakifika pale uhamiaji zile process zinawashinda vigezo na masharti!

Mwingine hiyo 150 anaona bora aitumie kama nauli safarini.. so unakuta hawana papers
Sasa mtu unaplan vipi safari bila hata passport jamani??
Hili nalo ni tatizo kubwa sana! Kabla hujanza safari yako ya kwenda abroad inabidi uwe na passport na visa pia ikiwa nchi unayotaka kwenda inahitaji uwe na visa!!
 
Papers, South Africa lazima uwe na passport ya kitabu na siyo zile temporary wanazochukuwa hao vijana, na ukifika airport au border lazima uoneshe show money (Pocket money) to cover ur stay.
Mi nimeshaenda pale mara kadhaa, ila sijawahi kuulizwa wala kuambiwa nionyeshe hiyo show money (pocket money) kitu pekee ambacho nimekuwa nikiulizwa ni ntakaa muda gani? Nikishataja muda ntakaokaa wananiambia nionyeshe return ticket kisha wananigongea visa!
Mara nyingi nimeenda kupitia O R Tambo na mara ya mwisho ambayo ni mwaka huu nilishukia Capetown International airport ila sijaexperence usumbufu wa aina yoyote ile. Au labda hayo maswala ya show money yalikuwa miaka ya zamani sana....
 
Kulikuwa na haja gani ya kuja kunianika humu? Si ungepotezea tu. Kwani wewe hauibi? Kila mtanzania ni mwizi katika nafasi yake iwe ndani au nje ya nchi. Hujafanya fresh kabisa kunichafua humu.
Myebusi mimi nakuomba daily nifanyie mafeke nitimbe hizo fasi asee nimeki dough unanilia gunzi.
 
SA ikishindikana ntajaribu hata Botswana lakini hapa home sijioni nikiishi Tena japo sijui saa wala siku ya kuondoka
Mi nakushauri uende SA ukikomaa unaweza kufanikiwa, Botswana achana napo! Lakini ile hela yako ya 1.5m uiongezee vinginevyo haitakutosha, au uwe na mtu wa kukupa hifadhi yani ukae kwake,
Ile nchi kupanga nyumba inahitajika uwe na hela ya kuweka kama deposit sasa hiyo hela yako inaweza kuishia yote kwenye deposit na ukawa hujafanya kitu.
 
Mfano wa bidhaa unazoweza kutoka nazo SA na kuuza Malawi?
Mfano wa nini mkuu zipo nyingi cash n carry hapo zinapekekwa Malawi sio kwamba nabahatisha nina uhakika na hilo Malawi ni Nchi rahisi kukutoa kibiashara na DRC ila upate taarifa sahihi
 
Mi nimeshaenda pale mara kadhaa, ila sijawahi kuulizwa wala kuambiwa nionyeshe hiyo show money (pocket money) kitu pekee ambacho nimekuwa nikiulizwa ni ntakaa muda gani? Nikishataja muda ntakaokaa wananiambia nionyeshe return ticket kisha wananigongea visa!
Mara nyingi nimeenda kupitia O R Tambo na mara ya mwisho ambayo ni mwaka huu nilishukia Capetown International airport ila sijaexperence usumbufu wa aina yoyote ile. Au labda hayo maswala ya show money yalikuwa miaka ya zamani sana....
Tanzania haipo kwenye kundi la kuulizwa show money kuingia Nchi za SADC ukiulizwa hivyo jua wanataka rushwa tuu na OT wapo busy hawana maswali ya utakaa siku ngapi ugongewe utoke na muda mwingine aulizi kitu ni kukupa siku Tisini...
 
Wanaogopa kupigwa mazima mkuu. Mbongo akipata mwanya kidogo wa kujua unga ulipo, basi kitachofuata ni maumivu kwa wanijeria.
Mnijeria gani anamuogopa mbongo yaani mpopo aache kusaka life amuogope Mtanzania upo seriuos kweli? Wapopo wana maduka ya parts mpaka huko machakani kwa Wazulu kabisaa Jeppe Street na magari ya kukatakata awaogope Watanzania kwa lipi zaidi..mitaa ya end yote mpaka kuzunguka mabonneng ni maduka ya Wasenegali,Nigeria na warundi na kidogo hapo juu zipo garage mbili tatu za kina Chale na Tony zote ni wapopo hapa mnakuja kuongelea wapopo waogope kwanza hiyo mijamaa siju kama hata wana kitu kinaitwa fear kwenye bongo zao kwa vitu wanavyofanya...
 
Mkuu ukubali ukatae lkn ukweli ni kwamba.. katika watu ambao mnijeria hawezi kufanya kosa la kumuamini basi ni mbongo. Kwanza wamegundua kwamba mbongo yuko tayari hata kufanya kazi au biashara hatarishi mahali popote pale tena bila kuhofia chochote kile. Wabongo ndio wanaoongoza kwa kazi hatarishi za kupiga michomoko ya usiku, ndio wanaoongoza kwenda shamba (swazi) kuleta bangi haijalishi mpakani au njiani kuna ulinzi wa namna gani, wabongo wanauza ngada maeneo mbali mbali, wabongo ndio walikuwa wanaongoza zamani miaka ya 2000 kuwapigisha watu simu kupitia njia za panya kwa gharama nafuu. Nenda Msumbiji kaangalie wabongo wanavyouza ngada mchana kweupee bila hofu, nenda harare kaangalie wabongo wanavyoshesha kwa njia haramu na halali, nenda botswana namibia nk. Kifupi mpopo anaweza kucheza dili la pesa na raia wa nchi yoyote ya Afrika lkn hawezi kufanya hivyo kwa mbongo maana wanawajua. Fikiria wapopo wamesambaa katika nchi nyingi za afrika kama vile Zambia pale Lusaka kaunda bus terminal, Zimbabwe, Rwanda, Msumbiji, Kenya, Uganda, Malawi nk kote huko wana uwanja mzuri tu wa kupiga hela kwa njia za panya lkn kwa Tanzania wameshindwa. Simaanishi hawapo ila hawana uwanja mpana na huru wa kufanya yale wanayofanya katika hizo nchi nyingine ambazo raia wao bado wamelala. Wapopo wanapenda free ground ili wapate mwanya wa kupiga, so akiona kuna mbongo (mtu mwenye roho ya paka kama yake) karibu yake basi lazima ahofie. Hapa sizungumzii zile biashara halali bali zile ambazo sio halali na ambazo ni rahisi mtu kupigwa au kufanyiwa fitna ya kuletewa wazee nk.
 
Halafu uishia kuwa masikini, unakuta mtu kakupiga kambia, unakutana nae miaka kachoka
 
Mnijeria gani anamuogopa mbongo yaani mpopo aache kusaka life amuogope Mtanzania upo seriuos kweli? Wapopo wana maduka ya parts mpaka huko machakani kwa Wazulu kabisaa Jeppe Street na magari ya kukatakata awaogope Watanzania kwa lipi zaidi..mitaa ya end yote mpaka kuzunguka mabonneng ni maduka ya Wasenegali,Nigeria na warundi na kidogo hapo juu zipo garage mbili tatu za kina Chale na Tony zote ni wapopo hapa mnakuja kuongelea wapopo waogope kwanza hiyo mijamaa siju kama hata wana kitu kinaitwa fear kwenye bongo zao kwa vitu wanavyofanya...
Mnigeria anaogopwa Dunia mzima si UK, USA, China, Dubai wakishajua tu ni mnigeria wanakua attention, ujanja wa mnigeria kutake risk kupambana asirudi nyuma, thus kwa afrika Nigeria ndo inaongoza kwa mamilionea, ujanja wa mbongo ni kwenye kuharibu, ujanja mavi. Mnigeria ujua amekuja saka pesa, mbongo penye mteremko au kulelewa anasahau alipotoka.
 
Mkuu ukubali ukatae lkn ukweli ni kwamba.. katika watu ambao mnijeria hawezi kufanya kosa la kumuamini basi ni mbongo. Kwanza wamegundua kwamba mbongo yuko tayari hata kufanya kazi au biashara hatarishi mahali popote pale tena bila kuhofia chochote kile. Wabongo ndio wanaoongoza kwa kazi hatarishi za kupiga michomoko ya usiku, ndio wanaoongoza kwenda shamba (swazi) kuleta bangi haijalishi mpakani au njiani kuna ulinzi wa namna gani, wabongo wanauza ngada maeneo mbali mbali, wabongo ndio walikuwa wanaongoza zamani miaka ya 2000 kuwapigisha watu simu kupitia njia za panya kwa gharama nafuu. Nenda Msumbiji kaangalie wabongo wanavyouza ngada mchana kweupee bila hofu, nenda harare kaangalie wabongo wanavyoshesha kwa njia haramu na halali, nenda botswana namibia nk. Kifupi mpopo anaweza kucheza dili la pesa na raia wa nchi yoyote ya Afrika lkn hawezi kufanya hivyo kwa mbongo maana wanawajua. Fikiria wapopo wamesambaa katika nchi nyingi za afrika kama vile Zambia pale Lusaka kaunda bus terminal, Zimbabwe, Rwanda, Msumbiji, Kenya, Uganda, Malawi nk kote huko wana uwanja mzuri tu wa kupiga hela kwa njia za panya lkn kwa Tanzania wameshindwa. Simaanishi hawapo ila hawana uwanja mpana na huru wa kufanya yale wanayofanya katika hizo nchi nyingine ambazo raia wao bado wamelala. Wapopo wanapenda free ground ili wapate mwanya wa kupiga, so akiona kuna mbongo (mtu mwenye roho ya paka kama yake) karibu yake basi lazima ahofie. Hapa sizungumzii zile biashara halali bali zile ambazo sio halali na ambazo ni rahisi mtu kupigwa au kufanyiwa fitna ya kuletewa wazee nk.
Nakubaliana na wewe kabisa true kwenye kuharibu mbongo mpopo atasubiri.
 
Mi nimeshaenda pale mara kadhaa, ila sijawahi kuulizwa wala kuambiwa nionyeshe hiyo show money (pocket money) kitu pekee ambacho nimekuwa nikiulizwa ni ntakaa muda gani? Nikishataja muda ntakaokaa wananiambia nionyeshe return ticket kisha wananigongea visa!
Mara nyingi nimeenda kupitia O R Tambo na mara ya mwisho ambayo ni mwaka huu nilishukia Capetown International airport ila sijaexperence usumbufu wa aina yoyote ile. Au labda hayo maswala ya show money yalikuwa miaka ya zamani sana....
Wanaoingia kupitia border mara nyingi wana one way ticket, immigration huwa wanauliza hilo.
Tanzania haipo kwenye kundi la kuulizwa show money kuingia Nchi za SADC ukiulizwa hivyo jua wanataka rushwa tuu na OT wapo busy hawana maswali ya utakaa siku ngapi ugongewe utoke na muda mwingine aulizi kitu ni kukupa siku Tisini...
Nimelenga kwa wale wa border entry ambao ndio wengi sana.
 
Mnigeria anaogopwa Dunia mzima si uk, USA, china, Dubai wakishajua tu ni mnigeria wanakua attention,ujanja wa mnigeria kutake risk kupambana asirudi nyuma,thus kwa afrika nigeria ndo inaongoza kwa mamilionea,ujanja wa mbongo ni kwenye kuharibu,ujanja mavi.mnigeria ujua amekuja saka pesa,mbongo penye mteremko au kulelewa anasahau alipotoka.
Labda kuna kitu wengi mnachanganya kuhusu hawa Wanigeria.

Ni hivi ni nadra sana kumuona kijana mdogo wa kinaijeria maisha hayo.

Wanageria wengi maisha hayo ni watu wamekomaa wana akili timamu na tayari wana experience ya maisha.

Unakuta Mnigeria ameishi Uingereza miaka 20 sasa goli lake ameona lipo South Africa, ni vigumu na haiwezekani kwa Mtanzania atoke Uingereza au Marekani ahamishie goli lake South Africa hiyo haiwezekani ila kwa Wanigeria nimewaona wengi, tena hao jamaa maisha hayo wanakuwa mpaka na madingi umri wa kina Jenerali Ulimwengu wanapiga wote mishe.

Kwa ufupi hao siyo watu wa kushindana nao wana exposure kubwa.

Miaka ya nyuma nikiwa Uingereza kuna Wanaijeria ni Principles kabisa wa vyuo ndio tulikuwa tunawatumia kuwalipa pesa unasomeka upo chuoni kwake, unafanyiwa mtihani, unapasishwa na unatakiwa kuendelea na masomo ndio docs tulikuwa tukizitumia kuomba kuextend student viza, ndio unashangas mtu nyundo kibao status ni mwanafunzi.
 
Mkuu ukubali ukatae lkn ukweli ni kwamba.. katika watu ambao mnijeria hawezi kufanya kosa la kumuamini basi ni mbongo. Kwanza wamegundua kwamba mbongo yuko tayari hata kufanya kazi au biashara hatarishi mahali popote pale tena bila kuhofia chochote kile. Wabongo ndio wanaoongoza kwa kazi hatarishi za kupiga michomoko ya usiku, ndio wanaoongoza kwenda shamba (swazi) kuleta bangi haijalishi mpakani au njiani kuna ulinzi wa namna gani, wabongo wanauza ngada maeneo mbali mbali, wabongo ndio walikuwa wanaongoza zamani miaka ya 2000 kuwapigisha watu simu kupitia njia za panya kwa gharama nafuu. Nenda Msumbiji kaangalie wabongo wanavyouza ngada mchana kweupee bila hofu, nenda harare kaangalie wabongo wanavyoshesha kwa njia haramu na halali, nenda botswana namibia nk. Kifupi mpopo anaweza kucheza dili la pesa na raia wa nchi yoyote ya Afrika lkn hawezi kufanya hivyo kwa mbongo maana wanawajua. Fikiria wapopo wamesambaa katika nchi nyingi za afrika kama vile Zambia pale Lusaka kaunda bus terminal, Zimbabwe, Rwanda, Msumbiji, Kenya, Uganda, Malawi nk kote huko wana uwanja mzuri tu wa kupiga hela kwa njia za panya lkn kwa Tanzania wameshindwa. Simaanishi hawapo ila hawana uwanja mpana na huru wa kufanya yale wanayofanya katika hizo nchi nyingine ambazo raia wao bado wamelala. Wapopo wanapenda free ground ili wapate mwanya wa kupiga, so akiona kuna mbongo (mtu mwenye roho ya paka kama yake) karibu yake basi lazima ahofie. Hapa sizungumzii zile biashara halali bali zile ambazo sio halali na ambazo ni rahisi mtu kupigwa au kufanyiwa fitna ya kuletewa wazee nk.
Wanijeria wapo Sinza wa kumwaga na Tanzania ndio ilikua njia yao kuu ya kufanya mambo mengi wamejaa kule salasala utadhani wapo Abuja..Wanijeria wana maduka Mbeya, Arusha, Iringa hapo Kariakoo wanaoleta vitu kutoka China vya urembo wao wapo pia sijui unawazungumzia Wanijeria wepi?
 
Back
Top Bottom