Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
1.5 unaweza kufanya kitu Tanzania ukituliza akili yako vizuri chini.Mkuu nataka kuja SA naomba nisaidie ila mimi nakuja na kianzio ili nisiwe mzigo kwako nimejichanga changa nmepata 1.5M ya kiTz na hela ya nauli pemben ila nmekua mzito kuja huko maana sijawahi kufika huko na sina ninae juana nae huko na nmeskia wa Tz weng wa huko unaweza ukafikiri n msaada kumbe umejipeleka kwenye mdomo wa mamba ila ww nahisi utakua tofaut kutokana na moyo wa kusaidi nataka nianzishe hata kuuza matunda tu ila nahitaji masaada wako unipe muongozo tu.
Papers, South Africa lazima uwe na passport ya kitabu na siyo zile temporary wanazochukuwa hao vijana, na ukifika airport au border lazima uoneshe show money (Pocket money) to cover ur stay.Lakini SA mbona hakuna complications kuingia?? Kinachowafanya hawa ndugu zetu kupita hizo njia za hatari mpaka wengine kuliwa na viboko ni nini??
Labda ni Park station New York USA.Labda atuelekeze hapo park station jamaa alikua kakaa analia kajiinamia. Labda sio SA
Absolutely his lie. Labda Kama Kuna code kwenye hili andiko lake
Nimeishi ulaya, usiongee usichokijuwa, have a seat.hata hivyo wabongo waliopo kwa kaburu wala hutakiwi kuwaongelea, kwasababu ni hawa wahamiaji walioenda kinyume na sheria. hao ogopa kama ukoma hadi ujambazi na kuua watz wenzao wanafnaya huko south. ila kwa ulaya labda kidogo wale walioenda kusoma na sio wale waliofeli maisha wanahangaika tu kwa kuishi huko, wanajifanya wajuaji na ukiingia cha kike wanakuzunguka na kukufanya mbala.
Si kila anayeuwawa ni mwizi, hapana, South kuna highest crime and gun is free.Halafu tukisikia kauwawa tunaanza ooh RIP
Kumbe majizi tu
Mwaka 1994 nilikuwa hapo sikupiga kura lakini nilipiga kura uchaguzi wa Thabho Mbeki, hayo mnayoyaona leo hakuna geni, tulihama chimbo hilo tangu mwaka 2000 millenia, hakuna jipya ni yaleyale tu na yataendelea milele, historia yake ni ndefu.Mkuu niwe mkweli tu kwamba kwa sasa siwezi kukushauri uje Kaburu. Si kwamba nakukataza ili kukwepa kukusaidia, bali ni kulingana na uhalisia wa hali ya nchi kwa sasa. Nchi hii kwa muda wa miaka miwili iliyopita, imepitia katika misuko suko mikubwa mitatu ambayo imeharibu kabisa uchumi wake. 1) msuko suko wa kwanza ni ule uliyotokea tar 13/9/ 2019 ambapo wazawa walianzisha fujo na vurugu dhidi ya wageni hadi kupelekea baadhi ya kampuni kubwa za kigeni kufungwa, 2) msuko suko wa pili ni ule wa kufunga mipaka ya nchi na watu kuwekwa ndani bila kutoka kutokana na janga kubwa la uviko, 3) msuko suko wa tatu ni ule mshike shike uliotokea miezi kama miwili iliyopita baada ya mkuu wa nchi mstaafu kukamatwa, ulifanyika uharibifu mkubwa ambao mpaka sasa umeacha doa. So kutokana na hayo yaliotokea mambo mengi yamebadilika. Mfano vijana wengi wamepoteza ajira, vyakula vimepanda bei, kodi za nyumba hazishikiki, vibaka wameongezeka mitaani, biashara za matunda zimekuwa kila kona kiasi kwamba uuzaji umekuwa wa mdondo nk. Kwahiyo kwa uchache ni ngumu sana kukushauri uje maana inaweza kufika kipindi ukanilaumu kwa kukuacha uje bila kukwambia hali halisi. Kwa sisi ambao tuko hapa muda mrefu na tunafanya shughuli zetu ni sawa, maana tunajua tuingilie wapi na tutokee wapi ila sio kwa mgeni ndugu yangu.
Sehemu kama Rose bank, Sandton City ilikuwa ukionekana mtu mweusi lazima golf ya police isimame wakuhoji, leo mnazurura kote huko.
Ooh yeah.Aliniacha hapo hapo.
Hakuna waaminifu kama vinyozi, unanyowa unalipa pesa yako unasepa, hawa ndio mafundi wakweli. Basi waamini seremala.😜😜Kati ya watu wa mwisho kuwaamini ni vinyozi
Urundi wako ni wa permit uliyokuwa unatumia lakini huwezi kuishi kwenye jumuiya ya Warundi acha kudanganya watu.Kwa namna ulivojibu hapa unaonesha busara kubwa sana,nami niliposoma hapa niliwaza sana na nikangoja utajibu nini,binafsi nimeishi sana SA na hapo park station napajua kidogo ukweli ni kwamba watanzania hatuna sifa njema SA binafsi nilijulikana kama mrundi Capetown tangu naingia hadi naondoka
Nadhani inabidi achongewe sanamu likae pale New York tuondowe lile sanamu maarafu la Mother of liberty.Labda code kwa mbali sana ni kuwa jamaa yuko SA ana roho nzuri na anaweza kukusaidia kukutafutia kazi ila kwa Park Station kumsaidia mtu na ukaenda nae hadi kwako na kuishi nae kama ndugu jamaa anastahili tuzo ya nobel
Umekaririshwa ujinga, watu wasiofuata mambo ya dini wala kumuamini Mungu ndio wanaokula good time hapa duniani.Pole sana mkuu kumbe tupo wengi tulio amua kusaidia wenzetu baadae wakatutenda vibaya, da nimeamini Allah (Mungu) mjuzi wa kila kitu Kama alivyotamka kwenye maandiko,
kwakuwa aliamua kutuumba binaadamu kisha akaumba moto akijua kabisa wapo Wapumbavu ambao adhabu yao ni kuwaingiza kwenye huo moto wa jehanamu kwa sababu ya yale maovu waliyo yatenda wakiwa duniani.
Kisha Mungu akasema kwa yule aliyetendewa mabaya na binaadamu mwenzake basi manung'uniko yake au huzuni alizopata baada ya kutendwa basi hayo manung'uniko yako ni Dua tosha itakayomfanya mtendaji asifike popote ikiwezekana kuangamia, mwisho wa kunukuu;
Hiyo michezo ipo kwa timing maalum, na vijana huwa wanakula maisha mbelez huko.Duuh mkuu haid sasa kuna watu wanazamia Europe na US kwa meli...! ? Si itakuwa rahisi kukamatwa?
Ila now days makaptain wa meli wamechoka kupigwa fine ikijurikana meli yao ndio ilimpa shavu store away bila kumkabidhi kwa mamlaka ya final port, nitaleta thread maalum kutowa somo kuhusu hili.
Hivi wewe uko serious kweli?Ukipata connection nzuri ya watu wanaojitambuwa na wewe ukiwa humble, plus muongeaji mzuir na watu ya mwepesi kumwin mtu.. utafanikiwa haraka huko
Hili ni kweli tupu.Complications zinaaznia kwenye PASSPORT...hahaha vijana wengi wanozamia una kuta wakifika pale uhamiaji zile process zinawashinda vigezo na masharti!
Mwingine hiyo 150 anaona bora aitumie kama nauli safarini.. so unakuta hawana papers