Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Tusikuone unazurura humu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Yanga 2-1 Tp Mazembe

Hii naiweka hapa usiseme sikukwambia...
Haya muda umewadia timiza ahadi, kuna mwenzio kaweka mke uko Tabata mda huu anaenda kukabidhi funguo ya lodge mke achapwe

Yanga 3-1 TP Mazembe
FT
 
Ilikua na ulazima gani kuapa kwa Mungu kwa sababu isiyo na maana kiasi hiki?
Unaweza ukamtimizia Mungu hiki kiapo kwa kujiondoa jamii forum , utoke wewe na nafsi yako na sio kurudi na Id nyingine?
 
Tusikuone tena humu. Mwehu wewe. Ulidhani Yanga wamesajili wachezaji wa BURE
 
Kwaheri Mwishokambi
 
Haya jiondoke
 
Ole wako ufungue ID mpya tutakujua tu


FT

YANGA 3

MAZEMBE 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…