Huyu amebebwa tu. Hata uwezo wake wa kuchezesha kwa sasa ni wa kawaida sana.Kweli mwanamama Jonesiya Rukyaa ANASTAHILI tuzo ya mwamuzi bora?!!! Mmmh
Miaka miwili ananyonyesha....amerudi juzi tu..
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
hata mimi nafikiri hili.Hivi KVant huwa ni nzuri kunywa?
Mimi najua kingereza ila kizungu kweli sikifaham.Hujui kizungu
[emoji1787][emoji1787]Usishangae hadi refa U20 Afcon huwa hatupeleki Wala Cafcc au Cafcl maana refa Bora anakuwa huyu hao wengine wakoje
[emoji1787][emoji1787][emoji106]Huyu amebebwa tu. Hata uwezo wake wa kuchezesha kwa sasa ni wa kawaida sana.
Nimesummarize au unataka neno kwa neno?Pale wakati anapata kigugumizi huku kashika tuzo yake unakumbuka alisemaje mbali na kusema asante?
Na ww utamweleza mwenzio,anayejua kizungu wakati wenzake wanajua Kingereza.Mweleze
Nlishaandika post iliyofuata.Umesahau goli bora[emoji23]
Niliona nkawah kufuta post yangu sema uko chap sana tayr umereply🙌Nlishaandika post iliyofuata.
My personal future without Yanga is very tough. Hiyo ni Yanga ipi inaongelewa ambayo future yake hatakuwa nayo na kwanini aongee hivyo?Nimesummarize au unataka neno kwa neno?
Husimlishe maneno. Kweli mkataba wake umeisha, kuna tetesi za Nabi kuondoka, ila bado haja ongea sehemu yoyote.
Naona unapenda ligi msikilize yy hapo,just appreciation na shukrani.
Kweli ana maanisha hivyo, ulivyo andika ww?My personal future without Yanga is very tough. Hiyo ni Yanga ipi inaongelewa ambayo future yake hatakuwa nayo na kwanini aongee hivyo?
Huelewi nini sasa hapo au ndio mahaba yanakusumbua. Unataka mpaka aseme kwaherini.Kweli ana maanisha hivyo, ulivyo andika ww?
Hebu rudia tena mzungu.
Hivi mfano upo kwenye kampuni A,they award you something, ukaitwa kutoa shukrani na ukasema "My personal future without A is very tough",ina maana hapo ndio unawaaga.
Daah basi sawa.
YeaaaaahNiliona nkawah kufuta post yangu sema uko chap sana tayr umereply[emoji119]
Ndio maana nikakwambia basi na scenario nimekupa.Huelewi nini sasa hapo au ndio mahaba yanakusumbua. Unataka mpaka aseme kwaherini.