Nabi amethibitisha kuondoka

Nabi amethibitisha kuondoka

Pale wakati anapata kigugumizi huku kashika tuzo yake unakumbuka alisemaje mbali na kusema asante?
Nimesummarize au unataka neno kwa neno?

Husimlishe maneno. Kweli mkataba wake umeisha, kuna tetesi za Nabi kuondoka, ila bado haja ongea sehemu yoyote.

Naona unapenda ligi msikilize yy hapo,just appreciation na shukrani.
 
Kiungo bora alifaa CHAMA, MVP ni mayele 100%....na top scorer ni wote wawili coz goal ni goal na msimu juzi England top scorer walikuwa watatu mane, Salah, na aubamayeng
 
Next season MVP na AUCHO, coz atakuwa chumvi zaidi ya msimu huu na jamaa basi tu, lkn ni top middle hapa bongo kwa nafasi yake....nyota tu kakosa, yy na mzamiru
 
Nimesummarize au unataka neno kwa neno?

Husimlishe maneno. Kweli mkataba wake umeisha, kuna tetesi za Nabi kuondoka, ila bado haja ongea sehemu yoyote.

Naona unapenda ligi msikilize yy hapo,just appreciation na shukrani.
My personal future without Yanga is very tough. Hiyo ni Yanga ipi inaongelewa ambayo future yake hatakuwa nayo na kwanini aongee hivyo?
 
My personal future without Yanga is very tough. Hiyo ni Yanga ipi inaongelewa ambayo future yake hatakuwa nayo na kwanini aongee hivyo?
Kweli ana maanisha hivyo, ulivyo andika ww?

Hebu rudia tena mzungu.

Hivi mfano upo kwenye kampuni A,they award you something, ukaitwa kutoa shukrani na ukasema "My personal future without A is very tough",ina maana hapo ndio unawaaga.

Daah basi sawa.
 
Huelewi nini sasa hapo au ndio mahaba yanakusumbua. Unataka mpaka aseme kwaherini.
 
Back
Top Bottom