Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Siku hadi siku ALLAH anawaonesha vitu wazi kabisaa juu ya hawa wanaojiita Mitume,
Lkn sisi binaadam kulielewa hilo swala haiwezekani.
Jamaa ameshushuliwa hadharani kabxaa,bado waumini wakiambiwa neno na huyo Mtume Uchwara wanashangila[emoji1321]
Hapa ni dhahiri inaonesha sisi waafrika akili zetu huwa zinakuja saa6 usiku na saa 12 asubuhi zinaondoka[emoji1321]
 
Kwa sie wa kristo, yesu alipuuzwa saana. Leo baada ya miaka elf 2000, dunia nzima inamkubali. Kwahio kuweni makini munapo critic
Sio kwa hili tapeli tunalikataa kwa jina la Yesu Kristo
 
Kuna ile clip ya gwajima, eti kuna jamaa, gwajima alijidai kuwa anamfananisha, then jamaa akasema kweli, ukitaka kujua uongo wa mtu, eti jamaa akadai alipewa mamlaka na gadafi na saddam husein kuwa shehe wa afrika mashariki, aisee nilicheka sana.
 
Kuna ile ya " a dead baby come back to life" [emoji23][emoji23][emoji23]huwa nacheka mpaka basi
Ila mbona hata hapo bongolala wapo wengi tu kama akina,,,,,,,,,,,,[emoji24]
 
Na wale wanaofanana naye hapa nchini wachukue tahadhali, namimi najipanga kwenda kuwategea mtego
 
Watu wamedhihirishiwa sana uhuni wa hawa manabii mamboleo lakini wameshupaza shingo zao na wala hawataki kusikia.
 

Hii pia niliiona
 
Wengi nyie mloleta hizo video kutoka youtube hamjui hata mnachojaribu kuongea,unachukua kipande cha video arafu unakuja kumsema mtumishi wa MUNGU,usiyoyajua usishadadie kuongea,mfatlieni huyo alieanzisha bushiri must fall ameishia wapi ? kwa taarifa yenu Prophet bushiri hategemei sadaka katika kuendesha maisha yake anaviwanda vya madini kamavile acacia na viwanda vya nguo vipo china amewekeza kwenye mahotel dubai,sio maskini kama wewe uliyeenzisha hii mada hapa
 
Daah! Mkuu jichunguze vizur nakuhakikishia kuna kitu hakiko sawa ndan yako
 
Chanzo cha utajiri wake ni sadaka, kuwekeza sio jambo baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…