kelenyende
Senior Member
- Aug 24, 2017
- 163
- 153
Biblia inaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa haikukosea. Lakini bado utashangaa wanaojiita walokole a.k.a wapendwa wataendelea kumuamini tu! Hawa jamaa ni wafanyabiashara tuu.[emoji36]
Wapo wengi ila kuwasema ndio shughuli,biblia inasema wasiguswe Bali mungu atadili nao mwenyewe.
Fungua lako na wewe uwapige manyumbu ununue bugatti veronBaada ya kuwapiga manyumbu mpunga wa kutosha akaona amnunulia binti yake wa miaka minne gari aina ya Masserati Lavante yenye thamani ya kama milioni 200
kama huna hoja unakaa kimya, sio lazima uchangie.Fungua lako na wewe uwapige manyumbu ununue bugatti veron
Uliyoandika wewe umeona ni Hoja?kama huna hoja unakaa kimya, sio lazima uchangie.
Tuishie hapa. Fanya yako.Uliyoandika wewe umeona ni Hoja?
pesa haitoshi kamandaWengi nyie mloleta hizo video kutoka youtube hamjui hata mnachojaribu kuongea,unachukua kipande cha video arafu unakuja kumsema mtumishi wa MUNGU,usiyoyajua usishadadie kuongea,mfatlieni huyo alieanzisha bushiri must fall ameishia wapi ? kwa taarifa yenu Prophet bushiri hategemei sadaka katika kuendesha maisha yake anaviwanda vya madini kamavile acacia na viwanda vya nguo vipo china amewekeza kwenye mahotel dubai,sio maskini kama wewe uliyeenzisha hii mada hapa
Dont touch my annointed one, ndivyo neno lisemavyo. Hata mitume ambao leo twawaheshimu walidharaulika sana enzi zao. Wote Yesu na Mohamad, na mitume yote walio wahi kueneza injiri. Haya mbo yali kuwepo, yapo na yatakuwepo.
Hizi dharau au kubeza zitawapeleka pamba.