The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Sawa ilikuwa metaphor .sasa nakukumbusha jina la kitabu kinaitwa SENSA .hiyo metaphor inatosha hapo .πNimekuambia Kuwa Ilikuwa Ni metaphor na wala Sio kuongea Kwa Kuongea Hili swala Nimelijibu Ila Ulipohoji Ndo nimekupa Maswali..
Ila Ilikuwa Ni metaphor na Sio Kitu halisia
Sawa .ili nikuamini naomba takwimu za kizazi cha Ishmael.najua Allah alikwisha kusimuliaπΈπΈπΈπΈHao sio wahusika wa biblia hayo ni matukio yaliyotukia duniani zama mbalimbali na Allah ndio alikuwa anatusimulia.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.Mkuu una hoja; usikilizwe. Tusubiri wenyewe waje kutupa majawabu.
Wakati tukisubiri wataalamu waje, hebu kula chuma hiki mkuu:
***************************************************************************************
Here's a more detailed explanation:
- Common Ancestry:
Scientific evidence, including genetic studies, strongly supports the idea that all humans are descended from a small, ancestral population that lived in Africa.
- Migration and Adaptation:
As humans migrated and settled in different parts of the world, they adapted to their local environments through natural selection. This adaptation led to variations in traits like skin color, stature, and susceptibility to certain diseases.
- Genetic Variation:
While humans share a vast majority of their DNA, there are differences that have accumulated over time due to random mutations and genetic drift.
- "Races" are a Social Construct:
The concept of "race" is a social construct, not a biological reality. There is more genetic variation within so-called "racial" groups than between them.
- Interbreeding:
Humans have interbred across geographic regions, further blurring the lines of "racial" distinctions.
- Not Separate Origins:
The idea that different "races" evolved from separate origins is a misconception.
- Evolutionary Processes:
The differences we see in human populations are the result of evolutionary processes, not separate origins.
Unajua kuna thin line ya intelligence na uchizi,nikisoma mapito yako ya kiimani na elimu,najua wewe ni very intelligent darasani,wale intelligent wenye element za uchizi,yaani ulitoka ukristu,ukaenda uislam, ukaenda uyahudi,halafu ukaacha kuamini juu ya MunguHahaha Very Impressive Mimi nahisi Ni kama Wewe Sema Mimi Nilivuka more Way further maana Baada ya Kutoka kwenye Uislmu nilikuwa Myahudi ππ
Biblia siyo maneno ya Mungu bali ya watu,mbona uko waziHuyu ni wakala wa shetani! Nadhani kafikia mwisho wa kazi yake anamalizia. Anawaandaa waumini wake kisaikolojia. Kama wewe unaabudu kwake be prepared!
Sio. Biblia tu vitabu vyote vya kiimaniBiblia siyo maneno ya Mungu bali ya watu,mbona uko wazi
Umejiona ulivyo mpumbavu?Sasa danga km wewe una upeo gani
Mimi nafahamu kilichopo nyuma yake. Huyu ni mfuasi wa shetani ni freemasonry aliyejificha kwa mlango wa biblia baada ya kuona muda wake wa kazi kwisha sasa anaanza kutapatapa. Na bado yapo mengi atasema. Biblia ni neno la Mungu! Na ni neno lilihai!Biblia siyo maneno ya Mungu bali ya watu,mbona uko wazi
Kivipi yaniSawa ilikuwa metaphor .sasa nakukumbusha jina la kitabu kinaitwa SENSA .hiyo metaphor inatosha hapo .π
Sawa .ili nikuamini naomba takwimu za kizazi cha Ishmael.najua Allah alikwisha kusimuliaπΈπΈπΈπΈ
Uzuri ni kwamba kwenye Mungu amewavuta kila watu wa kila nyazifa na elimu tofauti kama mtu atasema dini ni kwa wajinga basi utaoneshwa wasomi haswa ambao ni maprofesa na Wacha MunguHayo maswali ukiwauliza wafia dini humu wanaanza kukulaani, ukweli ni kwamba upeo wao ni mdogo wanapelekwa km nyumbu..!!
Sijaelwa unamaanisha Sensa ya Kilatain au Ya Kizungu CensusSawa ilikuwa metaphor .sasa nakukumbusha jina la kitabu kinaitwa SENSA .hiyo metaphor inatosha hapo .π
Yes. DNA inabadilika kutokana na mutations pamoja na genetic drift.DNA inabadilika kulingana na Mazingira na Sababu nyingi na kupelekea kuzalisha offspring ambayo ni tofauti na ancestors.
Swala la DNA ni haliwezi kulinda point yako. Inawezekana kabisa mtu mmoja akazaa albino, mtu huyohuyo akadhaa mweusi na watoto wake huwenda wakazaa Wazungu.
Mpuuzie tu huyo bado hajadurusu hata elimu mojaUmejiona ulivyo mpumbavu?
Unaweza kufikiri na kusadiki chochote.Kufikirika na kusadikika maana yake ni kutokuwepo?
Sasa Mungu kwann aliumba binadamu dhaifu wakati alijua kuna nyoka ambaye atamdanganya? Na kwa maelezo ya biblia shetani alivaa Umbo la nyoka, je shetani naye aliumbwa siku gani? Au yeye na Mungu walitokea wapi?Kama palikua na nyoka na miti maana yake vilikuwepo kabla ya Adam,na adam na mkewe kurubuniwa haimaanishi Mungu kuzidiwa akili bali udhaifu wa binadam, wangapi wanatapeliwa/danganywa hata leo!?..hilo ni umbile la binadam,free will
Kwa Quran hapana, tazama muundo wa Quran, mtume anasema nimeshushiwa wahyi,kwa kuwa hajui kuandika anawaambia waandishi wake,wanajiandaa kuandika (Quran 25:4-5),aya za Quran..'wanakuuliza kuhusu zakkat,sema uwaambie,sema Mungu ni mmoja,hakuzaa wala kuzaliwa nk..kama ushawahi soma Quran utakua umeelewa, sasa bible ni tofauti,ni kama elvis musiba anamuelezea willy gambaSio. Biblia tu vitabu vyote vya kiimani
Huyu nitakutana naye kwenye kikao kingine lazima nimdunge sumu yangu kali mpk akiona hii id aweweseke..!! πΉπΉMpuuzie tu huyo bado hajadurusu hata elimu moja
Shetani si kiumbe bali sifa, shetani yule alikua ibilisi ambaye kiumbile ni jini,na hata leo,umbo la nyoka ndiyo majini hupendelea kujibadilisha wajapo kwa binaadam,ukiacha njiwa,majini kama malaika,yaliumbwa kabla ya binadamSasa Mungu kwann aliumba binadamu dhaifu wakati alijua kuna nyoka ambaye atamdanganya? Na kwa maelezo ya biblia shetani alivaa Umbo la nyoka, je shetani naye aliumbwa siku gani? Au yeye na Mungu walitokea wapi?
Wewee mrembo , huwa una sifa zote mara wa ovyo kama mimi , mara akili kubwa kama kina Kiranga , mara upo upo tu, yaniiππππHuyu nitakutana naye kwenye kikao kingine lazima nimdunge sumu yangu kali mpk akiona hii id aweweseke..!! πΉπΉ