The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Unataka nini majina ya watoto wa Kaini au watoto wengine wa Adam?Ni akina nani hao mkuu? Wanaitwaje? Tutajie walau wawili tu.
Unataka nini majina ya watoto wa Kaini au watoto wengine wa Adam?Ni akina nani hao mkuu? Wanaitwaje? Tutajie walau wawili tu.
Okay, Sasa yule shetani aliyekua anapiga story na Mungu kwenye kisa cha Ayubu ni nani?Shetani ni sifa ambayo hata wewe unaweza kuivaa,ukimshawishi mtu kufanya uovu,kuiba,dhulumu,ua,unakua shetani, shetani si kiumbe maalum,aliyemrubuni Adam na mkewe alikua ibilisi,ni miongoni mwa majini.. viumbe vyote viliumbwa na Mungu
Kwa nini nithibitishe?..Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, Kabla ya kusema yeye ndio chanzo cha kila kitu.
Tumefunga mkuu 😹😹Wakupe bia kwa bili ya
yangu😁
Wewe uliyesoma, Eleza hapa jinsi mazingira yanavyo badilisha DNA?Rudi shule Kasome kwanza mkuu
Hahaha sawaTumefunga mkuu 😹😹
Mungu hasumbuki wala hachoki wala hashindwi na kiumbe chochote, maelezo yangu hayatokani na bibliaOkay, Sasa yule shetani aliyekua anapiga story na Mungu kwenye kisa cha Ayubu ni nani?
Na yule aliyefungiwa kuzimu na Yesu ni yupi?
Km viumbe vyote viliumbwa na Mungu kwahiyo Mungu anaumba vitu ambavyo anajua fika vitamsumbua??
Basi Mungu kazidiwa akili na binadamu, maana binadamu anaweza kutengeneza bomu na akajua jinsi ya kulitegua lakini Mungu anashindwa kumdhibiti shetani aliyemuumba!!!
Hii ajabu sana!! 😹😹
Tutahakikisha vipi huyo Mungu ndiye chanzo cha kila kitu?Kwa nini nithibitishe?..
Thibitisha kwamba upepo upoTutahakikisha vipi huyo Mungu ndiye chanzo cha kila kitu?
Tutajuaje kwamba ni ukweli na si imani zako za kusadikika na kufikirika tu zisizo na uthibitisho wala ukweli wowote?
Biblia ni kwa ajili ya wiseman na sio layman kama nyieNaaminisha Kwa title ya kitabu .dhana ya fiction tuondoe kabisa .biblia NI sacred book/text.
Kama huyo Mungu hashindwi na chochote wala yeyote, Mbona huyo shetani alimshinda huyo Mungu akaweza kumuasi?Mungu hasumbuki wala hachoki wala hashindwi na kiumbe chochote, maelezo yangu hayatokani na biblia
Mamlaka za gizaHuo unabii mkuu alipewa na nani?
Hakuna maswali yasiyo na majibu hadi sasa kuhusu maandikoHayo maswali ukiwauliza wafia dini humu wanaanza kukulaani, ukweli ni kwamba upeo wao ni mdogo wanapelekwa km nyumbu..!!
Sasa hapo we huoni kama ndio nitathibitisha kuwa ni kopiKiivi Kama quran sio copy ya biblia naomba majina ya watoto WA Ishmael .hapo nitaamini .
Majini na binadam Wana freewill, tofauti na malaikaKama huyo Mungu hashindwi na chochote wala yeyote, Mbona huyo shetani alimshinda huyo Mungu akaweza kumuasi?
mhh by de way tunda unalojua sio ilo unalowaza ni kumtoa pazia ya akil ili azini then nyoka ni ibiris ambae alikuja kwa umbo ilo hauo mengine mie simoKatika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Km hashindwi kwanini asimuue shetani ambaye kwa maelezo ya biblia ndiye adui yake mkubwa..!! Nikuulize swali dogo.Mungu hasumbuki wala hachoki wala hashindwi na kiumbe chochote, maelezo yangu hayatokani na biblia
Upepo upo unasikika ukivuma na kujulikana upo.Thibitisha kwamba upepo upo
We ndio umemsikia leo?Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.