Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Ukosefu wa uthibitisho wa uwepo wa kitu, ndio kutokuwepo kwake.Kutokuwepo maana yake ni nini? Maana hapa ndo tatizo lilipo.
Ukosefu wa uthibitisho wa uwepo wa kitu, ndio kutokuwepo kwake.Kutokuwepo maana yake ni nini? Maana hapa ndo tatizo lilipo.
Sasa kama ametupa freewill ya kuchagua mema au mabaya, si ina maana alidhamiria tuweze kufanya na mabaya pia?Mungu sio dikteta amekupa freewill uchague mema au mabaya
Sawa.Kuna sababu nyingi za kutokea nje zinazopelekea kutokea badiliko kwenye DNA hasa zikidumu kwa muda mrefu kwa mtu husika...
1. UV radition kutoka kwenye Jua.
Hizi zinapelekea kutengenezwa kwa kitu kinaitwa Thymine dimers, kikawaida Thymine bases huwa zinafanya pairing na Adenine lakini kwenye uwepo wa UV radition inapelekea Thymine inafanya muunganiko na Thymine kutoka upande mwingine.
Hili linaweza kupelekea Mutation.
2. Chemicals zinazopatikana maeneo husika kama Moshi wa Tumbaku na Kemikali za Viwandani hivi vyote vinapelekea badiliko la DNA
3. Viruses na baadhi ya Biological Agents wanaweza kupelekea kubadilika kwa DNA.
Hizo ni Baadhi ya External Factors, lakini pia kuna Natural Causes.
Sasa kwa huo ujinga wako Nakuomba tena RUDI SHULE
Hizo ni propaganda za mitandao ya kijamii ...we na akili zako zote umeamini huo upuuziUle upande mwingine Rais wa Burkina Faso kagomea kujengewa misikiti 200 badala yake kasema wajengewe shule, hospitali na vituo vya biashara.
Kwanini amdhibiti mapema?...kinyago ulichokichonga hakiwezi kukutishaMungu mnayedai kwamba ni mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba Shetani atakuja kumuasi amdhibiti na kumzuia mapema asiweze kumuasi?
Mabaya at your own riskSasa kama ametupa freewill ya kuchagua mema au mabaya, si ina maana alidhamiria tuweze kufanya na mabaya pia?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Upepo hauaminiwi upo, Upepo unajulikana upo.Unaamini upepo upo kwa athari zake na si kwamba unauona,unaamini umeme upo kwa athari zake kwa taa kuwaka,tv kuwaka lakini huuoni
Mimi naamini Mungu yupo kwa athari zake kwa kutazama mazingira yanayonizunguka na mimi mwenyewe umbile langu.
Mimi kuwa na kinywa chenye meno na mate kwa ajili ya kusaga chakula,kisha kuwa na njia inakipeleka tumboni kwenye mifumo ya umengenyaji Ili nistawi,kisha kujulikana kwamba si chakula chote kitamengenywa,makapi yatabaki na yatatakiwa kutoka,pakawa na njia ya kutoa makapi nje ya mwili tena mwili ukini-alert...hiyo ni athari/dalili ya kuwepo mhandisi aliyehandisi huo mfumo
Kuona si kwa macho tu bali hata kwa akili
UnadhibitishajeHio ni akili yake ni haki yake na uhuru wake pia ni yeye na Mungu wake awaye yeyote akikaribia mwisho wa ushetani hukufuru na kisha anaenda zake kwenye hukumu ya milele
Huyo Mungu kama aliweka freewill ya kuweza kufanya mabaya kwa nini useme mabaya at my own risk?Mabaya at your own risk
Mambo ya wakati sijui, sijajifunza kuhusu Historia.Sawa.
Sasa kama kweli sisi binadamu tumetokana na binadamu wa kwanza, Ni wakati gani haya mabadiliko ya DNA yalitokea yakafanya tutofautiane?
Huyo binadamu wa kwanza alikuwa na rangi gani?
Je alikuwa mweupe au mweusi?
Upepo unajulikana upo,uliuona wapi!?..tupeleke na sisi tuuone au upige picha tuwekee humu tuuoneUpepo hauaminiwi upo, Upepo unajulikana upo.
Upepo si kitu cha kuamini, upepo ni kitu cha kujua.
Upepo si imani.
Upepo upo na unajulikana upo.
Mungu hajulikani yupo, ndio maana mna amini. Hamna uhakika wala uthibitisho wa uwepo wa Mungu ndio maana mmebaki kuamini tu.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika na kujulikana yupo.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
1. Walioandika vitabu wanajulikana labda uzungumzie walionakili.Ukweli ni kwamba, watu wengi wanaojiita Wakristo hawajui chochote kuhusu historia ya Ukristo na wala hawataki kujua. Mimi ni Mkristo tangu kuzaliwa lakini kuna mambo wenzangu wengi hawayajui, kama vile;
1. Vitabu karibu vyote vya Biblia havijulikani ni nani aliandika, including vya agano jipya! Vimepewa tu majina ya Mitume na manabii ila sio wao waliandika.
2. Vitabu vilivyopo kwenye Biblia viliingizwa na washiriki wa the Council of Nicea mwaka 325 kwa KUPIGIWA KURA!
3. Alieviingiza yeye mwenyewe alikua mpagani (Mfalme Constantine 1)
4. Suala la kwamba Yesu ni mungu au sio mungu pia liliamuliwa kwa KURA! Waliosema ni mungu walishinda.
5. Huyu tunaemuita leo Yesu, akija hapa sasa hivi ukamuita we Yesu.. hatakuitika, na atapita kama hakujui, maana jina lake halijawahi kuwa "Yesu"!
6. Wakristo wengi tunadhani kwamba "Mungu" ni jina la Mungu, kumbe neno Mungu ni jina la jumla ni kama kusema Rais, ila kila rais si ana jina lake? Ukisema tu Mungu unakua hujasema chochote na hata ukisema hayupo ni sawa maana hakuna Mungu yoyote anaeitwa "Mungu"!
7.
DaahTukiwaambiaga humu kila siku kwamba Biblia na Quran ni hekaya za kusadikika tu, huwa mnabisha sana.
Polepole mtaelewa tu, Biblia na Quran ni hekaya za kutungwa tu kama zilivyo hekaya za Abunuwasi, Esopo, kalume kenge na Alfu lela ulela.
Mbingu haipo.
Jehanam haipo.
Mungu hayupo.
Shetani hayupo.
Wake up emancipate yourself from mental slavery.
2wakorinto 11:16,paulo anawataka watu wamkubali na upumbavu wake Ili ajisifu walau kidogo,sasa hayo maneno ya Mungu au PauloUkweli wanaendelea kuusema wenyewe
Kwa kiwango fulani vitabu vilichakachuliwa (Kuongezwa au kupunguzwa).Duh! Kwahiyo biblia imechakachuliwa
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.Upepo unajulikana upo,uliuona wapi!?..tupeleke na sisi tuuone au upige picha tuwekee humu tuuone
DNA kubadilika hilo sikatai.Mambo ya wakati sijui, sijajifunza kuhusu Historia.
Kama umekubali mabadiliko yapo inatosha tukubaliane kuwa DNA za binadamu zilibadilika na bado zinaendelea kubadilika huwenda miaka 1000 ijayo kukawa na Ongezeko la Jamii(rangi) ama baaadhi ya Jamii zitatoweka.
Nikupe mfano wa uwepo wa kuku na mayai ya kisasa, Ongezeko la kuku wa kisasa limeanza miaka ya 2000 miaka 100 iliyopita hawa kuku wa nyama/mayai tulionao sasa hawakuwepo.
Mfano huo unaonesha kuwa spicies ya kuku wa Kisasa miaka 100 iliyopita haikuwepo imeanza kutokea miaka ya 2000 baada ya wanasayansi kufanya yao kutokea kwenye DNA za kuku waliopo.
Oh, inamaana kabla sayansi haijathibitisha uwepo wa white blood cell za mwili wa binadamu hazikuwepo.....Ukosefu wa uthibitisho wa uwepo wa kitu, ndio kutokuwepo kwake.