Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Oh, inamaana kabla sayansi haijathibitisha uwepo wa white blood cell za mwili wa binadamu hazikuwepo.....
Zilikuwepo lakini wanasayansi walikuwa bado hawajui kama zipo.

Ninyi tayari mnajua Mungu yupo, lakini hamna uthibitisho wa mlijuaje yupo.

Eleza na thibitisha ulijuaje Mungu yupo?
 
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Upepo ukivuma unasikika kabisa na kujulikana upo.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Upepo unaona athari zake,huuoni,hata unavyoita vipimo ni athari zake,ajabu unasadiki upepo upo kwa athari zake lakini hutaki kufungua akili yako kwa maelezo yangu ya kumeng'enya chakula mpaka kutoa takamwili kuwa athari/dalili ya muumbaji... ukitaka nikuoneshe Mungu basi nioneshe kwanza upepo, maana umegoma kutumia akili
 
Huyo Mungu kama aliweka freewill ya kuweza kufanya mabaya kwa nini useme mabaya at my own risk?

Kama kufanya mabaya ni risk, Sasa hiyo ni freewill au mtego?

Kama huyo Mungu alikuwa hataki tufanye mabaya, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao fanya mazuri siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Dunia ni makao ya muda mfupi ya shetani na wanadamu ili mwanadamu huo ulimwengu usio na mabaya unakuja unaitwa paradiso.
 
1. Walioandika vitabu wanajulikana labda uzungumzie walionakili.

2. Walionakili vitabu vya kwenye Biblia walikuwa na imani na walichokuwa wanataka kiwafikie wengine ndio maana wengine walikuwa tayari kuuwawawa. Ingawa walikabili upinzani wa wanakili wengine waliotaka kupotosha mambo kama hao wakina Constantine.

3. kuhusu jina la Yesu ni kweli hakuitwa Yesu wala Jesus. Lakini lilipotoholewa ili ieleweke na kutamkika kulingana na eneo basi Yesu ilionekana inafaa. Ukienda kwa maandishi ya Kiebrania Yesu ni Yeshua au kwa namna nyingine. Ni kama tulivyo na jina Mungu kwa kiswahili, Allah kwa kiarabu, na God kwa Kiingereza. Lakini tunaamini kila mtu akimuita kwa namna yake anaelewa kwa yeye si mwanadamu na yuko peke yake. Mwanadamu akiitwa Daudi na mwingine David hao ni watu tofauti ingawa yana maana moja.

4. Ni kweli Mungu ni jina la cheo. Yeye ana jina la kipekee linalomtofautisha na miungu mingine.

Kwenye ukristo ukichimba mambo utaelewa ila ukipokea maandiko kwa mtazamo wa watu bila kujithibitishia uhalisia mwenyewe utavurugwa.

Mfano jambo dogo tu, kujua baba wa Imani Abraham/Ibrahim asili yake wakristo wengi hawajui.
1. Kama muandishi gani anaejulikana PASIPO SHAKA YOYOTE kwamba yeye ndio aliandika hicho kitabu?

2. Tuna uhakika gani kwamba hao walionakili: a) Walielewa kile walichokuwa wananakili b) Walinakili kwa usahihi c)Waliwakilisha kwa usahihi kile walicho nakili bila kupoteza maana?

3. a)Yeshua ina ugumu gani kutamkika mpaka watu waamue kutohoa?
b) Mungu sio jina, Allah ni jina, God sio jina. Mungu yoyote anaweza kuitwa Mungu/God ndio maana kuna miungu lukuki. Mungu wa wakristo ana jina lake, cha ajabu hakuna anaelitumia .

Hivi vitu vimefanywa kwa makusudi sio bahati mbaya.
 
Well said.Allah n Jina .
 
Mimi nimetokea kwenye Uislam ,ila wakristo japo wapo kwenye box ila wana uhuru mkubwa wakufikiri 🤔
Sio rahisi kwa muislam kutoka kwenye uislam ni ngumu mno.
Anaanza kuandaliwa kuiamini dini tangu mdogo kabisa, ni kama wale majasusi au jambazi ambalo liko tayari hata kuuawa ila sio kutoa siri.

Wakristo wengi husali kwa hiari zao, akiamua sawa akiacha sawa.
 
Kwangu ni rahisi tu
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.

View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.

Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.

Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?

Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?

Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?

Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.

Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.

Nawasilisha.

​
Tapeli.
 
Upepo unaona athari zake,huuoni,hata unavyoita vipimo ni athari zake,ajabu unasadiki upepo upo kwa athari zake lakini hutaki kufungua akili yako kwa maelezo yangu ya kumeng'enya chakula mpaka kutoa takamwili kuwa athari/dalili ya muumbaji... ukitaka nikuoneshe Mungu basi nioneshe kwanza upepo, maana umegoma kutumia akili
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Nimeshakwambia kwamba unaweza kupima upepo kwa sababu upo.

Hatupimi upepo kwa kuangalia athari zake.

Upepo unapimwa kila siku kwenye vituo vya hali ya hewa kujua kasi yake na uelekeo wake.

Marubani na manahodha wa meli kila mara wanapewa updates za speed and direction za upepo, kwa sababu upo na unapimika.

Sasa wewe thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Dunia ni makao ya muda mfupi ya shetani na wanadamu ili mwanadamu huo ulimwengu usio na mabaya unakuja unaitwa paradiso.
Niliwahi kuuliza, kama Mungu aliumba ulimwengu wote wenye sayari zisizo na hesabu, kwanini aliamua kumtupa shetani duniani ambapo kuna "watu wake" (yaani sisi), badala ya kumtupa kwenye sayari mojawapo kati ya nyingi zisizokaliwa na kiumbe chochote?

Hii ni sawa na wewe una jumba kubwa lenye vyumba zaidi ya 100, ukutane na joka huko nje upambane nalo likushinde, halafu uchague kulitupia kwenye kile chumba kimoja tu wanacholala watoto wako!
 
Kuna kitu inaitwa Forbidden knowledge wewe mtu wa ufahamu level ya kwanza utakiwi uyajue ukitaka kuyajua zaidi unapanda juu ndipo unasoma vitabu vingine vinavyozivunja vunja hizo codes za kwenye Biblia au Quran hivi vitabu ni msingi ukitaka deep unazama kwenye hizi forbidden knowledge
Vipo vitabu vinaelezea maisha mmoja tu mfano kipo kimeandika historia nzima ya.
Ambazo kwenye Biblia zimewekwa kwa ufupi
. Adam na hawa
. Kitabu cha Enock, Enock ni mtoto wa Kaini
. Maisha ya Jesus Christ tangu angali mtoto hadi alipoondoka duniani kinaitwa.
Miaka 18 ya Yesu iliyopotea
. Sodoma na Gomorrah
. Injili ya Thomas
. Masimulizi juu ya mji wa Babel
.Siri za mfalme sulemani
.nk
Vipo vingi sana na vingi vilipigwa marufuku na kukusanywa na Roman Catholic kumbuka zamani hapakuwepo na technology za uchapaji kma sasa thus ilikuwa ni rahisi kuyadhibiti maandiko,wakavifungia kwenye majumba ya siri.
Hii Biblia waliacha yale yawafaayo watu level ya chini.
Na bahati ya kusoma vitabu hivi vingi kama haupo vizuri vinakutoa nje ya reli hivyo kutowachanganya watu wa ufahamu wa level ya kwanza wakaona waviondoe kwenye public.
Ulimwengu wa sasa wa technology ndo elimu zingine zinaanza kutolewa
 
Swali ni je, Kama kweli kuna binadamu wa kwanza wa watu wote, Je huyo binadamu wa kwanza alikuwa na rangi gani?
Binadamu wa kwanza inakadiriwa alikuwepo miaka 300,000 iliyopita. Unategemea nijue rangi ya mtu wa miaka laki 3 iliyopita na nimekwambia SIJASOMA HISTORIA.

Je alikuwa mweupe na mabadiliko ya DNA yalivyotokea, wakazuka binadamu weusi?
Haijalishi binadamu wa kwanza alikuwa na Rangi gani.
Hata kama alikuwa mweupe au mweusi ama Mwarabu cha Msingi ujue kuwa Rangi zote hizo zinaweza kubadilika kutoka Rangi moja kwenda nyingine na Pia zinaweza kuzaa Rangi mpya ambayo haikuwapo kabla.

Wewe unaweza kuelezea kwanini watu weusi wanazaa Albino?Albino wa kwanza Alizaliwa lini?

Hapa ndipo utata ulipo?
Kwahiyo unafikri binadamu hapo mwanzo walikuwa wengi wenye Rangi mbalimbali ndio wakaanza kuongezeka😂.

Unataka tuseme kule China walianza wachina 8.
Huku Afrika walikuwepo weusi 6.
Ulaya pia walikuwepo wazungu 100
Kulikuwa na waarabu 40... n.k

Kiufupi binadamu wa kwanza hawazidi wawili na hao ndio walizaa hizi Rangi zote zilizopo. Na kuna rangi zingine mpya pia zinazidi kuzaliwa
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.

View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.

Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.

Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?

Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?

Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?

Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.

Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.

Nawasilisha.

​
Tayari ametema bungo huyu. Hayo makafara yao na mauchawi wanayotengezewa Nigeria yameanza ku expire.

Mwaka jana mjukuu wake alianza kufa kisha baada ya miezi 6 namwanaye Nisha mtayarisha muziki naye akafariki kiajabu.

Ameanza kuropoka baada ya kukiuka masharti na hizo ndiyo dalili za kupotea kwake.

Yawezekana anatakiwa kutoa mke wake sasa au mtu mwingine wa karibu, naye anasita sita.

Musishangae akafa mwenyewe anytime. Mark this post
 
Biblia ni maneno ya MUNGU kupitia mikono ya wanadamu ndo maana Mungu amekilinda zaidi ya miaka 2000 hata sasa kisipotee.
Ingekuwa ni maneno ya wanadamu kingeshapotea.
Ndicho kitabu kinachouzika duniani kuliko vitabu vyote na kusomwa na watu wengi kwa siku.
Biblia ndicho kitabu kinachotumika kila sehemu kuanzia makanisani, msikitini, kwenye loji za Freemason,kwa waganguzi nk kwa sababu kimebeba siri za ulimwengu na ufunguo wa maisha thus sisi wazee wa knowledge tunakiita chuo cha maarifa au the coded books layman au watu wenye level ya kwanza ya ufahamu hawawezi kukielewa ukiona sawa tu na gazzet.
Hawajui nguvu ya uhai ndani mwke
Sijui kama unajua kwamba zipo aya zingine zimeongezwa na wafasiri. They never appear in the original manuscripts. Biblia imechezewa sana.
 
Niliwahi kuuliza, kama Mungu aliumba ulimwengu wote wenye sayari zisizo na hesabu, kwanini aliamua kumtupa shetani duniani ambapo kuna "watu wake" (yaani sisi), badala ya kumtupa kwenye sayari mojawapo kati ya nyingi zisizokaliwa na kiumbe chochote?

Hii ni sawa na wewe una jumba kubwa lenye vyumba zaidi ya 100, ukutane na joka huko nje upambane nalo likushinde, halafu uchague kulitupia kwenye kile chumba kimoja tu wanacholala watoto wako!
Dunia ni makao ya mda mfupi.
Ndo maana mwanadamu kapewa mbinu za kuweza kumshinda shetani ( nyoka) sasa mtoto aking'atwa na nyoka hali kapewa silaha na escaping zone akashindwa kutumia opportunity hio Mungu anakosa gani Hapo.
Note Dunia ni temporary place
 
Dingi kaamua kutusanua. 😁
Ila huyu dingi toka yule dogo wa panki achome gubenzi ni kama dingi kuna bolti ilicheza.. 😁
 
Back
Top Bottom