Mlume ndagu
Member
- Aug 12, 2018
- 68
- 81
Kumbe watu wanaakomaa kuamini kwenye kitabu cha mawazo ya kubashiri 😂😁
Hoja za nabii zinajibika zoteHuyo jamaa anawafumbua macho hao nyumbu wasiotaka kupenda kudadisi mambo..!!
Kwa mtu kama Wewe tunaweza Kukaa Meza Moja Tukaongea maana Weww Una observative Analysis..Sawa .
Mimi sio Muislamu wa kuzaliwa tu bali ninetumia muda wangu kuusoma kikamilifu na kuCompare na dini nyingine kwa mizani ya kielimu na observations nikafikia hitimisho kuwa bila shaka Uislamu ni haki na ni dini pekee ya ukweli.
Kuhusu uwepo wa Mungu , nilitumimia muda mwingi kuwaza Zamani sana toka niko primary nalo nilituliza akili na kuchunguza pamoja na kufuatilia kwa umakini Kisha nikafikia hitimisho uwepo wa Mwenyezi Mungu ni suala lisilo na shaka hata kidogo ndani yake .
Mwamba tupo na theolojia Kwanza .sayansi weka pembeni .Hesabu 22-27-30 Punda wa Balaam anaongea .Sidhani kama Umeweka Mjadala Uwe rahisi zaidi ila umezidi kuufanya Uwe mgumu zaidi kwako 😀😀
Sijui hata Unajua kama Unachokiongea
Unajua Serpent its more likely legend Story and not authentics Ones..
Bora tujibu Mengine Tukienda kwenye Hizo legends story Mimi Mtanitukana Kuliko Hata Huyo Geodav..
Maana Hakuna Uthibitisho wa Kisayansi wala wa Kimazingira wala Wakianatomic Kuwa Mnyama Aliwahi Kuongea au Nyoka aliwahi Kuongea..
Kwa sababu hakuna Trace ya Larynx kwa nyoka hata kwa bahati mbaya..
turudi huku
So Alikimbilia Nchi ya Nodi ambayo alienda Kuoa Huko Hiyo nchi ilitoka wapi?
Na Nikuongeze Bonus Kama Mungu alimuwekea Cain Alama asiweze Kufa Nikuulize kaini anaishi wapi kweli?
hapo ndo umetoa Hoja ya Kupingana na Yeye kuwa kama Ni binadamu akaandike ya Kwake??
Tuna safari ndefu
CC:- min -me
Biblia imekuwepo hata kabla ya uwepo wa wazungu duniani, unajua wazungu wametokea duniani Karne ipiKuna ukweli mkubwa sana ndani yake mkuu. Biblia ni uwongo ulioletwa na wazungu, kupitia kwa wamisionari ili uwalaze waafrika waendelee kuibiwa rasilimali na wazungu.
Soma history ueleweHuu uongo wa wazi kabisa!!!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
SawaSoma history uelewe
Nafikiri nimezaliwa tu master.Kwani wewe unafikirije mkuu?
Huyo MUNGU MWENYEZI ni muoga kiasi gani mpaka ana ogopa kutukanwa?Nimekufatilia toka mbali ila hapa umeanza kukosea ndugu yangu
Usimtukane MUNGU MWENYEZI ni mkali tukana tu hizi dini lakini siyo MUNGU atakupiga acha rafiki yangu
Ni wewe tu unajaribu kufosi uwepo wake.Yupo.
Mbona povu jingi si uthinitishe tu kuwa anachosema sio kweli?Yule ni mtumishi wa ibilisi, mafundisho yake ni utata mtupu. Kule tu kujiita nabii mkuu ni uongo mtupu hakuna nabii wa kweli wa namna ile. Nyumbu tu ndio anaowadanganya na kujaza sinagogi lake.
Bas samahan nisamehe ndugu yanguHuyo MUNGU MWENYEZI ni muoga kiasi gani mpaka ana ogopa kutukanwa?
Huyo MUNGU MWENYEZI kama ni mkali, Aonyeshe huo ukali wake hapa kama ana huo uwezo..!!
Ni akina nani hao mkuu? Wanaitwaje? Tutajie walau wawili tu.Adam na Hawa walizaa watoto wengine baada ya Kaini na Abel na Kaini alikuja kuoa mmoja wa dada zake, kumbuka zamani watu waliishi hadi miaka 900 sasa kama walianza kuzaa wakiwa na miaka 16 hadi wafike miaka 600 walizaa maelfu mangapi