Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Duh kwaio imeishaje hio ishuMngese yule mtu alichukua mke wa rafiki yangu aliyekuwa miongoni mwa walinzi wake.
Kenge sana.
Duh kwaio imeishaje hio ishuMngese yule mtu alichukua mke wa rafiki yangu aliyekuwa miongoni mwa walinzi wake.
Kenge sana.
Ndio Qur'an imekuja kurekebisha yaliyopita baada ya muda mwingi kupita watu walioshika mafundisho ya kweli ya dini za kale kupitia mateso makali ya watawala , kuuwawa nk na kusababisha mafundisho ya kweli ya Mitume waliopita na Manabii kupotea na kupotoshwa mengine.Quran imeboresha tu ndio maana ningetaka kuwa na dini hata ya kuzugia tu ningekuwa mwislamu
Hao manabii ni vitengo vya ccm ni project ya serikali na ccm yake ....ndiyo maana wanafanya utapeli na serikali pumbavu ya mafisiemu inawachekea.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Kwa imani wewe amini tuNdio Qur'an imekuja kurekebisha yaliyopita baada ya muda mwingi kupita watu walioshika mafundisho ya kweli ya dini za ka kupitia mateso makali ya watawala , kuuwawa nk na kusababisha mafundisho ya kweli ya Mitume waliopita na Manabii kupotea na kupotoshwa mengine.
Qu'ran ikaja kusahihisha yaliyo ya sawa na kupinga upotoshaji .
Sawa Baba Amna shidaMungu hayupo na ulicho kifanya wewe ni kutishia kama wewe unavyotishiwa .
DivorcedDuh kwaio imeishaje hio ishu
Taurat na InjilHivi mwamedi alipokuwa akisema "Watu waliopewa Kitabu" au watu wa kitabu alikuwa akirefer kitabu kipi?
Acha kukwepesha mada!!!Ya nyuma au puani?
Wewe si unaishi na single maza?
Acha hizo jombaa!!
Kwani mm ndio director/moderator wa mada?Acha kukwepesha mada!!!
For sureMimi kawaida yangu ni kusoma mambo sio kusikiliza waliopotea mfano wa kina Mazinge ,
Jadili mada iliyopo mezani 😃😀😄Kwani mm ndio director/moderator wa mada?
Wewe na wenzio mkijadili inatosha.Jadili mada iliyopo mezani 😃😀😄
Sawa .Kwa imani wewe amini tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe na wenzio mkijadili inatosha.
Most Nyoka sio shetani .pili nyoka Hana uhusiano na shetani .tatu God himself created serpent and described it has a most cunning animal .1. Who created the serpent and for which purpose?
2. Kama mke wa Cain hakutajwa mahali popote halafu wewe unatuambia eti alimuoa dada yake, wewe umejuaje wakati hilo jambo halikuandikwa mahali popote? Huoni kwamba nawe unataka kutuletea hadithi za Abunuwasi?
Mkristo mpumbavu au mkristo mwenye akili?Hakuna mkristo mpumbafu ambaye hajui kama siku za mwisho watakuja watu wanaoitwa manabii wa uongo
UISLAM NI LIDUDE KUUBWA,.. A well structured religion!Wakristo maji yamezidi unga kwa kweli na waislamu wanachekelea bila na wao kujua kama linakufa jitu wao ndio kifo cha mende kabisa