TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
Na Mungu ni mmoja tu
Unasemaje mungu ni mmoja tu halafu unataja majina ya miungu 7? Mungu unaemzungumzia wewe ni yupi kati ya hao?ALLAH,YEHOVAH,LE MULUNGU,MUNGU,KRISHNA,BUDDHA).
Na Mungu ni mmoja tu
Unasemaje mungu ni mmoja tu halafu unataja majina ya miungu 7? Mungu unaemzungumzia wewe ni yupi kati ya hao?ALLAH,YEHOVAH,LE MULUNGU,MUNGU,KRISHNA,BUDDHA).
mambo ya Mungu hayachunguziki kiholeholela namna hii. Mnasoma biblia kama novel hamtaelewa
Usihamishe mada kukwepa ukweli kuwa biblia ni kitabu cha ujanja ujanja leta andiko linayotambua kuna kitabu kinachoitwa BibliaHivi mwamedi alipokuwa akisema "Watu waliopewa Kitabu" au watu wa kitabu alikuwa akirefer kitabu kipi?
Kwa akili hizi we na huyo rafiki yako Geo devie atakula wake zenu sana mtaishia kulalamika mitandaoniAcha kukurupuka,tulia na usome vizuri.
Next time utakurupuka huku hujavaa nguo wajuba waone shanga zako.
Kwani unabii huwa unatolewa wap?Huu unabii wake aliutoa wapi, yeye ni nabii wa nani
Relax relax.Kwa akili hizi we na huyo rafiki yako Geo devie atakula wake zenu sana mtaishia kulalamika mitandaoni
Nabii kapiga kwenye komweAdheists na kobazi hapa wanafurahia na kushabikia kama fisi aliyepata mzoga mkubwa ale mpaka ashibe. Hii ngoma inajibiwa freshi tu, hakuna hoja hapa nabii anapotosha ukweli. Huu uzi usifutwe ili huyo wakala wa shetani ajibiwe kikamilifu
Ungekuwa unajua nini maana ya neno biblia usingejibu hivyoTuthibitishie wewe kwanza biblia imeandikwa na naUngekuwa maana ya neno biblia
Hiyo Ni metaphor Na sio Hali halisia Biblia Ipo kimfumo wa Metaphor na Ndo maana Nikamwambia Bwana mdogo apo juu asiamini kwenye Legendary stories those are mythology na Metaphor storiesMbona baalamu alisemeshwa na farasi alipokwenda kuwaalani waisraeli kwa amri ya mfalme wa moabu balaki?😅
Maana yake ni nini ? Na ni nani kaitoa hiyo maana?Ungekuwa unajua nini maana ya neno biblia usingejibu hivyo
Mbona mnavyowashambulia Waislamu hakuna anayesema mjadala ufungwe au uzi ufutwe kwa kuwa kuna upotoshwaji?🤣🤣🤣Mjadala ufungwe au uzi ufutwe kama kuna upotoshaji wa neno la Mungu
Biblia Ni mkusanyiko wa Vitabu na Ndo maana Kuna Biblia ya Mapishi (The Cook's Bible) , Biblia ya Kuoka (The Baking bible) zipo Biblia Nyingi sanaUngekuwa unajua nini maana ya neno biblia usingejibu hivyo
Hehehe!!!Uzi aufutwi hapa mpaka uelimike
Unafikiri wanaisoma kwa akili basi? Ndio maana nimechokoza kwa huo mfano😁Hiyo Ni metaphor Na sio Hali halisia Biblia Ipo kimfumo wa Metaphor na Ndo maana Nikamwambia Bwana mdogo apo juu asiamini kwenye Legendary stories those are mythology na Metaphor stories
Wacha porojoMwamba nyoka anayetajwa sio nyoka yaani nyoka Kama unavyojya wewe neno lilitumika NI serpent (kifasihi zaidi) na sio snake .biblia inasema nyoka alikuwa ana hekima kuliko wanyama wote aliowaumba Bwana Mungu .maana Ake n kwamba Nyoka alikuwa agent wa maarifa.amabaye alitumea na Mungu kumjaribu Adam suala la kuongea Kwa nyoka sio tatizo kiasi ujiulize hivi wanyama uwa wanaongea ? Kuna punda aliongea ndani ya biblia .
Kuoa Kwa Cain .Mwamba biblia yote unayoiona haina utaratibu wa kurecord kuzaliwa Kwa wanawake yaani inshort biblia NI mfume dume .Cain alioa dadaake ..Hawa akizaa mtoto wa kike .Biblia haisemi.
Napingana na nabii mkuu kwamba biblia NI maneno ya wanadam Kwa hoja .Kama ni kweli na yeye akaandike ya kwake .
Kuamini pia inaweza kuwa kichaka cha kupotosha na wamisionari Lengo lilikua hilo ,upotoshwe ili iwerahisi kuku manipulate 🤔Duh, Ujinga ni mama wa Dhambi.
Nani hajui bibilia ni muunganiko wa vitabu vilivyoandikwa kutoka maeneo mbali mbali vikaunganishwa pamoja?
Nani hajui mengine yalikuwa ni ya kusimuliwa, lakini historians and archeologist wame trace na wamekuta vipo kweli?
Nani hajui Rome ndio patron wa kuhifadhi kumbu kumbu zote za Biblia.
Nan hajui kwamba sio mambo yote yanapaswa kufundishwa mwanadamu?
Kwamba vitabu vyote vikusanywe watu wafundishwe kungekuwa na upotoshwaji mwingi sana..
Nani anabisha kwamba Biblia ni kwa ajili ya wanaotaka kuamini?
Kama huamini ni sawa na tutaendelea kukuombea.
Kwa wale wanaoamini jiepisheni na manabii wa Uwongo..
Si sawa kumsema vibaya mpakwa mafuta wa Mungu lakini kwa hili nadhani hajasema ukweli wote.
Kuamini ni uamuzi wako na ni juu ya Roho wa Mungu kukujalia neema hiyo.
Watu wanatoka jasho kabisa kupinga mambo yaliyo bayana.
Huyo Pasta anaongea lakini deep down anaelewa anachokisema na Nin neno la Mungu analotumia kuwakusanya watu hapo kwake..
Tujielimishe.., lakini kuamini ni juu ya mtu binafsi.
Ndiyo nimemkuta bikraRelax relax.
Kwani mkeo umemkuta bikra??