TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
Ukweli ni kwamba, watu wengi wanaojiita Wakristo hawajui chochote kuhusu historia ya Ukristo na wala hawataki kujua. Mimi ni Mkristo tangu kuzaliwa lakini kuna mambo wenzangu wengi hawayajui, kama vile;
1. Vitabu karibu vyote vya Biblia havijulikani ni nani aliandika, including vya agano jipya! Vimepewa tu majina ya Mitume na manabii ila sio wao waliandika.
2. Vitabu vilivyopo kwenye Biblia viliingizwa na washiriki wa the Council of Nicea mwaka 325 kwa KUPIGIWA KURA!
3. Alieviingiza yeye mwenyewe alikua mpagani (Mfalme Constantine 1)
4. Suala la kwamba Yesu ni mungu au sio mungu pia liliamuliwa kwa KURA! Waliosema ni mungu walishinda.
5. Huyu tunaemuita leo Yesu, akija hapa sasa hivi ukamuita we Yesu.. hatakuitika, na atapita kama hakujui, maana jina lake halijawahi kuwa "Yesu"!
6. Wakristo wengi tunadhani kwamba "Mungu" ni jina la Mungu, kumbe neno Mungu ni jina la jumla ni kama kusema Rais, ila kila rais si ana jina lake? Ukisema tu Mungu unakua hujasema chochote na hata ukisema hayupo ni sawa maana hakuna Mungu yoyote anaeitwa "Mungu"!
7.