Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Basi kwa mukdatha huu, nakubaliana nawe kuwa biblia ni maneno ya wanadamu kwa kuwa wanaweza kuyaongeza na hata kuyapunguza maneno kwenye biblia. So, nabii GeoDavie yupo sahihi 💯 %. Naona sasa tunaongea lugha moja mkuu.
Soma kwanza hivyo vifungu vya maandiko. Kulingana na doctrine of Cults huyo GeoDavie ni agent wa Ibilisi. Namshukuru Mungu japo kwa uchache nimepata elimu kuhusu doctrines mbalimbali kama
1. Imani za uongo (Cults). Hapa utawakuta akina GeoDavie, Kiboko ya wachawi, mzee wa upako, chief godlove et al
2. Kanisa (Ecclesiology). Hapa nimejifunza kanisa ni nini, lilianza lini na dhana halisi ya kanisa ni kuwa the church of Christ is the Catholic Church (not Roman Catholic church). Catholic Church and Roman Catholic church are two different churches
3. Hermeneutics - How to interpret scripture
4. Harmatiology - the doctrine of Sin
5. Pneumatology - the doctrine of Holy Spirit
6. Homiletics - how to prepare sermons
7. Christology - the doctrine about Jesus
8. Canonicity - How we got our Bible
Na mengine mengi.
Kwa mwenye elimu ya theolojia na Roho wa Mungu hawezi kuunga mkono mafundisho ya kishetani ya manabii wa shetani kama GeoDavie et al
 
Kuna mwanafalsafa, Spinoza, alisema Biblia ni sawa tu na vitabu vingine vilivyotungwa na watu. According to him "God is nature ".
 
unamsikiliza Kwa lipi? anajua anafundisha watu uongo na Kila siku yupo kanisani anakusanya sadaka.
Msikilize kwa hoja zake. Usimhukumu kwa sura hata kama humpendi. Je, hizo nondo alozotema zina uwongo gani ndani yake?
 
Back
Top Bottom