Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Kama huridhiki na majibu ninayotoa, huwenda wewe unamajibu ambayo yanaweza kuwa sahihi pia...

Kwanini kuna jamii nyingi za binadamu wenye rangi tofauti?
Ndivyo asili ilivyo na ndivyo tulivyo ikuta.

Lakini ukisema kwamba kuna binadamu wa kwanza kwa binadamu wote, lazima ueleze je huyo binadamu wa kwanza alikuwa mweupe au mweusi?
 
Ndivyo asili ilivyo na ndivyo tulivyo ikuta.

Lakini ukisema kwamba kuna binadamu wa kwanza kwa binadamu wote, lazima ueleze je huyo binadamu wa kwanza alikuwa mweupe au mweusi?
Ndio maana mkuu nakusisitiza Nenda Shule upya.
 
Kuna mabadiliko ambayo yanatokea kwa namna ambayo huwezi kugundua. Binadamu wa kwanza alitokana na Bacteria, mabadiliko yaliyochukua mamilioni ya miaka mpaka leo kuna binadamu.


Nani aliyekwambia mabadiliko yamekoma, mabadiliko bado yanaendelea huwenda miaka laki 5 ijayo kukawa na binadamu wa rangi hizo.



Kama unaona binadamu wanaongezeka basi ni uthibitisho kuwa hapo nyuma walikuwa wachache, na ukirudi nyuma zaidi huwenda hawakuwepo kabisa.
Kama huko nyuma binadamu hawakuwepo kabisa, walikuwa wapi?

Au walizuka tu from nowhere?
 
Ndio maana mkuu nakusisitiza Nenda Shule upya.
Wewe umeshindwa kuthibitisha na kueleza chanzo cha binadamu wa kwanza ni kipi, unasema nirudi shule.

Wewe hiyo shule yako yenyewe, imeshindwa kukueleza huyo binadamu wa kwanza alitoka wapi?
 
GeoDavie ana uhuru kujenga hoja ni mjenga hoja huru( Free mason) na wengine wanaweza kujinga kuwa free mason.
 
Sawa...

Amesema, kuna kipindi Roman Empire iliificha Biblia (ni kweli tena wengine waliuawa).

Swali langu kwako mleta mada ni kwanini Roma iliificha Biblia?

Unamskia anasema ukioneshwa "mistari original", reference yake ni ipi?

Nina maswali mengi ya kukuliza tafadhali uanze kunijibu hilo kwanza...
Vitabu vya dini viliteketezwa vingi sana hasa wakati wa utawala wa Mfalme Nero Roma ya kale.
Wakristo waliuwawa sana kipindi hicho.

Kuna watu walificha baadhi ya vitabu.
Kuna vingine vikaja kukutwa kwenye mapango na sehemu mbalimbali miaka mingi baadae.

Wakristo wa baadaye wengine wakavikataa hivyo vitabu original au tuite authentic kabisa. Baadhi vimekubaliwa na kanisa la Catholic na kukataliwa na waprotestanti.

Jambo la kushangaza wanao vikataa wanasema wakatoliki wameongeza vya uongo wakati hata vile wanavyo vikubali vilikusanywa na kuandikwa kwenye kitabu kimoja kiitwacho Biblia na hao hao wakatoliki wa Roma(Urumi).
 
Binadamu anahangaika sana kumtetea Mungu aonekane yupo.

Huyo Mungu ni mchovu, mdhaifu na goigoi sana hadi anashindwa kujitetea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom