Duh, Ujinga ni mama wa Dhambi.
Nani hajui bibilia ni muunganiko wa vitabu vilivyoandikwa kutoka maeneo mbali mbali vikaunganishwa pamoja?
Nani hajui mengine yalikuwa ni ya kusimuliwa, lakini historians and archeologist wame trace na wamekuta vipo kweli?
Nani hajui Rome ndio patron wa kuhifadhi kumbu kumbu zote za Biblia.
Nan hajui kwamba sio mambo yote yanapaswa kufundishwa mwanadamu?
Kwamba vitabu vyote vikusanywe watu wafundishwe kungekuwa na upotoshwaji mwingi sana..
Nani anabisha kwamba Biblia ni kwa ajili ya wanaotaka kuamini?
Kama huamini ni sawa na tutaendelea kukuombea.
Kwa wale wanaoamini jiepisheni na manabii wa Uwongo..
Si sawa kumsema vibaya mpakwa mafuta wa Mungu lakini kwa hili nadhani hajasema ukweli wote.
Kuamini ni uamuzi wako na ni juu ya Roho wa Mungu kukujalia neema hiyo.
Watu wanatoka jasho kabisa kupinga mambo yaliyo bayana.
Huyo Pasta anaongea lakini deep down anaelewa anachokisema na Nin neno la Mungu analotumia kuwakusanya watu hapo kwake..
Tujielimishe.., lakini kuamini ni juu ya mtu binafsi.