Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

mkisoma vizuri biblia Mwanzo 1 mstari 26-31
Mungu anafanya uumbaji anasema
Mwanzo 1
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi
Mwanzo 1:27
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
HEEEE! KUMBE ALIUMBA MWANAUME NA MWANAMKE KWA PAMOJA SAWA.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu
ANGALIENI SASA VIZURI HAPA MUNGU ANA WAPA MAELEKEZO HAWA MWANAUME NA MWANAMKE KWAMBA
[29]Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
KILA MTI HAWA WAWILI HAWAKUKATAZWA
SASA SIKU YA SITA INAISHA KWENYE UUMBAJI HAPA KAMA HIVI...
Mwanzo 1:31
[31]Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
HAPA NI SIKU YA SABA YA UUMBAJI ANAKAMILISHA
Mwanzo 2:2
[2]Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
SASA BIBLIA INAENDELEA HAPO HAPO MWANZO 2 KWAMBA MUNGU ANAENDELEA NA UUMBAJI MWENGINE SEHEMU NYENGINE, NCHI NYENGINE NA HAPA NI "EDEN"
Mwanzo 2:2,5
[5]hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana BWANA Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;
Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
HUYU NI MTU MWENGINE MUNGU ANAMUUMBA TOFAUTI NA WALE WA MWANZO WALIOUMBWA KWA PAMOJA, SASA HUYU ANAWEKWA EDENI NA MASHARTI KADHAA
Mwanzo 2:8
[8]BWANA Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.
Mwanzo 2:9
[9]BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Mwanzo 2:15
[15]BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.
Mwanzo 2:16
[16]BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
Mwanzo 2:17
[17]walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
MTU HUYU SASA INAONEKANA KAPEWA MASHARTI TAYRI VIZINGITI KIBAO LAKINI MUNGU AKAMUONEA HUYU HURUMA INAWEZEKANA ALIKUA MUASISI WA CHAPUTA WENDA LAKINI 🤷‍🤷🏾‍♂️
Mwanzo 2:18
[18]BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo 2:19
[19]BWANA Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake.
HUYU ADAMU HUKU INAONESHA KABISA MUNGU ALIFANYA UUMBAJI MWENGINE WA WANYAMA TOFAUTI NA WA WALE MWANZO HUKU ADAMU ALIFANYIWA SPECIAL KWA AJILI YAKE
Mwanzo 2:20
[20]Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.
HAPA NI MUNGU KAMA YUPO LABOLATORY FLANI HIVI ANAFANYA MAJARIBIO KADHAAA LAKINI WAPI ILA ..
Mwanzo 2:21
[21]BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo 2:22
[22]na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
WOOOW🤯 ILA WAIT A MINUTE 🤔 SASA HUKU EDEN MWANAMKE ALITOKA UBAVUNI MWA MWANAUME TOFAUTI NA MWANAMKE NA MWANAUME WALIOUMBWA SIKU A SITA SI NDIOO😁 HAYA 🤭
Mwanzo 2:23
[23]Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
SASA ADAMU TENA ANATUAMBIWA "SASA HUYU" NI MIFUPA KUNA MAJARIBIO KADHAA YALIFANYIKA HAPO KATIKATI MPKA ADAMU AKATOA SAUTI EEH SASA HUYU NDO MWANAMKE SASA, MANENO YA ADAMU HAYO 🤣
KIUFUPI TU EMBU HIYO STORY YA ADAMU NA HAWA NDO BINADAMU WA KWANZA MLITOA WAPI JAMANI
MBONA HATUAMBIWI MAMBO HAYA HUKO KWENYE MASINAGOGI NYIE NI KUPAMBANA TU MAJESHI YA BWANA WAPI NYIE🤣🤣🤣
HHE IS A SOURCE OF GOOD AND EVIL KASHASEMA
Isaya 45:7
[7]Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote.
I form the light, and create darkness: I make peace, and create evil: I the LORD do all these things.
NA ITS YOUR CHOICE TO CHOOSE KWASABABU
Mathayo 5:44
[44]lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
Mathayo 5:45
[45]ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. get the point
 
Tafuta mtu mmoja YouTube anaitwa Imani Mcimbwa anazivunja vunja hizi codes za kwenye Biblia kupitia vile vitabu vingine vilivyozuiliwa.
Unaweza pata maarifa zaidi
 
Dunia ni makao ya mda mfupi.
Ndo maana mwanadamu kapewa mbinu za kuweza kumshinda shetani ( nyoka) sasa mtoto aking'atwa na nyoka hali kapewa silaha na escaping zone akashindwa kutumia opportunity hio Mungu anakosa gani Hapo.
Note Dunia ni temporary place
Wewe unaweza kufanya hivyo? Yaani uwape watoto wako silaha, uwatupie joka lililokushinda wewe chumbani, halafu uwaambie sasa pambaneni mkishindwa sio kosa langu, na on top of that mkishindwa ntawachoma moto milele?

What a loving God 😀
 
Binadamu wa kwanza inakadiriwa alikuwepo miaka 300,000 iliyopita.
Huyo binadamu wa kwanza alitoka wapi?

Huyo binadamu wa kwanza alizuka tu from nowhere?
Unategemea nijue rangi ya mtu wa miaka laki 3 iliyopita na nimekwambia SIJASOMA HISTORIA.
Kama hukusoma Historia, kwa nini unasema kuna binadamu wa kwanza?
Haijalishi binadamu wa kwanza alikuwa na Rangi gani.
Hata kama alikuwa mweupe au mweusi ama Mwarabu cha Msingi ujue kuwa Rangi zote hizo zinaweza kubadilika kutoka Rangi moja kwenda nyingine na Pia zinaweza kuzaa Rangi mpya ambayo haikuwapo kabla.
Kama rangi zinaweza kubadilika, mbona hakuna binadamu wanjano au wabluu?
Wewe unaweza kuelezea kwanini watu weusi wanazaa Albino?Albino wa kwanza Alizaliwa lini?
Mimi nakataa dhana ya uwepo wa binadamu wa kwanza.
Kwahiyo unafikri binadamu hapo mwanzo walikuwa wengi wenye Rangi mbalimbali ndio wakaanza kuongezeka😂.

Unataka tuseme kule China walianza wachina 8.
Huku Afrika walikuwepo weusi 6.
Ulaya pia walikuwepo wazungu 100
Kulikuwa na waarabu 40... n.k

Kiufupi binadamu wa kwanza hawazidi wawili na hao ndio walizaa hizi Rangi zote zilizopo. Na kuna rangi zingine mpya pia zinazidi kuzaliwa
Hakuna binadamu wa kwanza.
 
Tayari ametema bungo huyu. Hayo makafara yao na mauchawi wanayotengezewa Nigeria yameanza ku expire.

Mwaka jana mjukuu wake alianza kufa kisha baada ya miezi 6 namwanaye Nisha mtayarisha muziki naye akafariki kiajabu.

Ameanza kuropoka baada ya kukiuka masharti na hizo ndiyo dalili za kupotea kwake.

Yawezekana anatakiwa kutoa mke wake sasa au mtu mwingine wa karibu, naye anasita sita.

Musishangae akafa mwenyewe anytime. Mark this post
Marked . At least Mwamba unamjua miaka records zake mimi nasikia Tu Nabii Mkuu ,Mkuu Manabii.
 
Watoto wamepewa nyenzo za kujiokoa na simba kutozitumia nyenzo hizo Mungu analaumika vipi sasa.
Kwahiyo watoto wakiliwa na simba ni sawa ikiwa simba kawafungia nao pamoja??
Basi Mungu hana upendo wala huruma km mnavyomsifia..!! Naye pia ni muuaji.
 
Alhamdulillah Uzi unatembea uko page ya nane sasa na wapambe hatuko nyuma tunachochea moto mnyukane Wagalatia wenyewe kwa wenyewe , ukipoa tunaiibua tena ukae trending watu waone kuwa wapo gizani wanahitajia Nuru ..
tunanyukana halafu ukweli unajulikana, hiyo ni kawaida na inashadidiwa na maandiko hayo. Nuruni ndio huku ukweli unapopatikana na sio gizani uliko wewe kitabu chenu hakichalenjiwi kwa kuwa kina abrakadabra nyingi. Yule jamaa aliandika aya za kishetani mkaishia kumtangazia fatwa
 
Huyo binadamu wa kwanza alitoka wapi?

Huyo binadamu wa kwanza alizuka tu from nowhere?

Kama hukusoma Historia, kwa nini unasema kuna binadamu wa kwanza?

Kama rangi zinaweza kubadilika, mbona hakuna binadamu wanjano au wabluu?

Mimi nakataa dhana ya uwepo wa binadamu wa kwanza.

Hakuna binadamu wa kwanza.
Kama huridhiki na majibu ninayotoa, huwenda wewe unamajibu ambayo yanaweza kuwa sahihi pia...

Kwanini kuna jamii nyingi za binadamu wenye rangi tofauti?
 
Mkuu wewe una watoto?
Wanao unawalea katika misingi ya imani ipi kiroho??
WAnangu kwa Sasa mmoja wawili wana miaka zaidi ya 18 na wawili wana miaka chini ya 18 ila zaidi ya 15..

Mimi huwa nawa Encoourage sana kutafuta Elimu kwa Moyo wote kuna muda Huwa nawaruhusu waulize maswali na Huwa ninawajibu Na ninawapa Vitabu mbalimbali Vya Kusoma..

Mimi Binafsi nimelelewa Kwenye Mazingira ya Kisomi na Kujifunza Elimu Bila Kulazimishwa Kufata Elimu fulani Ni hivyo Hivyo na Mimi nawalea Wanangu..

Huwezi amini Mwanangu wa kwanza Yupo chuo kwa sasa Ila Ananifurahisha sana anavyochambua Mambo ya Kiroho na Kidini na Jinsi anavyoweza kuunganisha Dots..

Nafeel Proud kama Baba Kuona Watoto wanaweza Kureason Vitu kabla hawajaviamini Na hata baada ya Hapo wakifata Imani yoyote nitabariki hilo
 
tunanyukana halafu ukweli unajulikana, hiyo ni kawaida na inashadidiwa na maandiko hayo. Nuruni ndio huku ukweli unapopatikana na sio gizani uliko wewe kitabu chenu hakichalenjiwi kwa kuwa kina abrakadabra nyingi. Yule jamaa aliandika aya za kishetani mkaishia kumtangazia fatwa
Yule alitangaziwa na Mamlaka ya Iran na sio Umma wa Kiislamu , kwanza Kitabu chenyewe nimekisoma hakina mantiki Wala hoja yeyote.
 
Huyo binadamu wa kwanza alitoka wapi?

Huyo binadamu wa kwanza alizuka tu from nowhere?
Kuna mabadiliko ambayo yanatokea kwa namna ambayo huwezi kugundua. Binadamu wa kwanza alitokana na Bacteria, mabadiliko yaliyochukua mamilioni ya miaka mpaka leo kuna binadamu.

Kama rangi zinaweza kubadilika, mbona hakuna binadamu wanjano au wabluu?
Nani aliyekwambia mabadiliko yamekoma, mabadiliko bado yanaendelea huwenda miaka laki 5 ijayo kukawa na binadamu wa rangi hizo.


Hakuna binadamu wa kwanza.
Kama unaona binadamu wanaongezeka basi ni uthibitisho kuwa hapo nyuma walikuwa wachache, na ukirudi nyuma zaidi huwenda hawakuwepo kabisa.
 
Kwahiyo watoto wakiliwa na simba ni sawa ikiwa simba kawafungia nao pamoja??
Basi Mungu hana upendo wala huruma km mnavyomsifia..!! Naye pia ni muuaji.
Umepewa uzima na mauti unachagua mauti kosa ni lako
 
Back
Top Bottom