Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Du! kiama kimekaribia ngoja niende bar nikagide za mwisho mwisho
 
Mkuu uliulizwa swali, nje ya Geodav ni mtumishi gani mwingine ambae imethibitika na mahakama pasi na shaka, kuwa na mienendo iliyo sababisha talaka?

Acha kuleta hadithi zako za ufaham ukifunguka,, JF si mahali pa kuleta blah blah!!

Naona misukule iko mingi humu.mtaendelea kutapeliwa shauri yenu.
 

Nani kakwambia mkuu!
Someni neno acheni kupelekwa pelekwa.....
Mi najitambua ndo maana sina dini ila najua wapo watumishi ambao Mungu anawatumia!
Kwa karama tofauti tofauti. ..sio lzm wote wawe na makanisa ndio na pia sio lzm usiwe na kanisa inategemea umeitwa kufanya nn.
Soma warumi 12 na efeso 4:11

Pia kumbuka, Biblia inasema ' atapigwa mchungaji na kondoo watatawanyika!na ndo shetani anachofanya!
 
Waumini wake wamepumbazwa haswaa...Huwa nawaonea huruma sana..

Na jamaa ni mshawishi mzuri, atakavyoitengeneza utetezi huku akinukuu vifungu vya bible...asiwaambie mtu wale waumini wake huwa hawapindui kabisa kwa jamaa..
 
Jamaa ni Mjasiriamali mbunifu ile mbaya, kwa hii habari ni kama mmefungulia fursa....misa ijayo atawaambia waumini....."Nabii amepigwa ngwara...hivyo leo tutakuwa na sadaka ya kumuinua nabii" ninavyowajua wale waumini wake, jamaa atahitaji kenta ya kubebea hiyo mihela.
 
daaaaa hizi k hizi..
Nomaaa sanaaa

Kristu Yesu pekeyake ndio alishinda majaribu na hakuanguka dhambini lakini wengine wooote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu hivyo kwangu Mimi sijui mtume nabii mpakwa mafuta au mtenda miujiza ni ni mwizi kama mwizi mwingine yeyote yule kinachotofautisha ni mbinu, ni mwasherati na mzinzi kama wengine tuu na kamwe HAWASTAHILI HESHIMA YANGU
 

Mm.....
 
neggirl usishangae nina ushuhuda na hawa watu ni walafi, wezi, wachoyo, waongo na wazinzi wa kupindukia na ni waabudu shetani wakubwa, ninamaanisha...!!!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Mtume Muhammad S.A.W hakuna nabii mwingine nyuma yake hao wengine wote ni waganga njaa tu na umalaya mtupu
 

Huyo nabii sio baba yake yule producer maarufu wa video anayekwenda kwa jina la NISHER?
 
Halafu nimesikitika kuwa Pamela na.mumewe walikuwa na utajiri wa kutosha kifedha na assets. Magari, nyumba zaudi ya moja, kampuni ya tours na magari yao. Yaani shetani mbaya sana. Kumbe walitengana five years ago. Tutunze na kuheshimu ndoa zetu ili zidumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…