Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

Magu aliiba Trillion 1.5 na CAG Musa Assad alilisema. ..una lingine?
 
ilihusika na
1. kuzima ugaidi kibiti
2. kuweka sheria nzuri za madini
3. kuanza ujenzi wa reli mpya
4. kujenga overpass na flyovers kwa mara ya kwanza Tanzania
5. kusomesha watoto bure sekondari
6. kuongeza idadi kubwa ya hospitali na vituo vya afya
7. kuffufua mashirika ya umma yaliokuwa yamefifia kama TTCL na ATCL


hayo uliyoyataja hapo juu ni mambo ya kuambiwa tu, hakuna lenye uhakika. Hakuuna mtu mwenye usshahidi beyond reasonable doubt kwamba serikali iliiba kura ila majengo, reli, mikataba ya madini, hospitali, hela za capitation mashuleni ni mambo ambayo yanaonekana wazi
 
Unajua kinachoendelea Rufiji kwenye mradi wa umeme? vipi barabara ya Kibaha au unasubiri taarifa kutoka kwa shaka hamdu
 
Inawezekana akawa Mkapa au Jk aliruhusu agawe Nyumba mbona hakuzirudisha alivyopata mamlaka vipi kuhusu kile kivuko alichokimbizia jeshini acheni ujinga mtu wenu alikuwa wa hovyo tu
 
Jiwe hakuwa na file lolote yeye alikuwa anataka kuwa na watu waliosagwa Ubongo tu lkn wanaofikiri wenyewe aliwapoteza Sasae Lisu alikuwa na file gani
 
Umeongea kwa hasira sababu yakuwa shabiki wa mtu na sio Nchi yenyewe hivyo ni vigumu mtu kama wewe kuelewa mambo maana nimoja ya watu mnaopenda kufurahishwa. Miradi mikubwa huwa ni lazima ukiguliwe ili kulinda matumizi ya fedha za umma kwani zingine zinapatikana kwa mkopo. Godfather wenu alizuia miradi yote mikubwa isikaguliwe hasa mradi wa sgr kwenye report za CAG ya prof Assad na kechere haukuguswa kabisa. Hawa viongozi hawa niwakupita tu hivyo wanapokosea sio vibaya kukosolewa kwa ajiri ya manufaa ya baadae kwa kizazi kijacho. Kama wewe ni mzalendo Kweli nenda nje ya box ufikilie bila mapenzi utaona mzee alikuwa anaharibu hili taifa kwa kujifanya mwamba mpaka kusema miradi mikubwa inagaramiwa na fedha za ndani wakati Nchi inaingia madeni tu. Uzuri wake alikuwa jasiri, committed ila roho mbaya Sana kavuruga mfumo wa ajira nchini katuletea watu kutoka jalalani yaan basi tu
 
Jiwe hakuwa na file lolote yeye alikuwa anataka kuwa na watu waliosagwa Ubongo tu lkn wanaofikiri wenyewe aliwapoteza Sasae Lisu alikuwa na file gani

Kuna tabia zingine ni za kihaini, adhabu ya mhaini unaijua....Taifa hili lina watu wajinga sana ambao ndio wanalikwamisha, bahati nzuri hao wajinga sisi ndio watetezi wao maana hatuyajui ya gizani au dark side zao..

Aliyoyafanya Manji nchi hii, ukideal nae kisheria hautamuweza lakini tafsiri ya ujinga wake mwingi ilikuwa sawa na uhaini tu, huyu unadeal naye gizani....Wahindi na waarabu walipodhibitiwa wasifanye dhulma kwa wakulima wakajiorganize wakaua soko la mazao ili nchi ikwame, huu ni kama uhaini tu... Tanzanite ilipodhibitiwa watu walikwenda kupiga fitna bei ya Tanzanite ikaanguka, hawa ni wahaini tu... Watu walikuwa matajiri kwa kufirisi NBC na CRDB wakawa mamilionea na kujifanya wanasaidia jamii ukiwagusa tu kelele kila kona, huu ni uhaini...

Wahuni au wahaini hawa wanatukwamisha mimi na wewe na watanzania wote lakini wakija mbele yetu wanajifanya wema kumbe huko gizani wanayoyafanya ni zaidi ya uhaini...Ukisema uwatungie sheria, ni hawa hawa wataenda gizani na kukwamisha usifanye chochote...Dawa yao ni kuwafagia na kuwakata miguu na nguvu ili Taifa liwe huru na setting nyingine zifanyike..
 
Unajua kinachoendelea Rufiji kwenye mradi wa umeme? vipi barabara ya Kibaha au unasubiri taarifa kutoka kwa shaka hamdu
Ndio najua, wametangaza ajira zaidi ya miamoja katika fani mbalimbali.
Ingia kwenye website ya arab contractor angalia kama kuna kazi inayo kufaa utumemaombi ukajenge nchi.

Barabara ya kibaha ndio nini?
Ama unazungumzia kipande cha barabara kuanzia Kimara mwisho mbaka mail moja.
Wewe ukipita unaona nini kinachoendelea ama unaishi mkoa gani we bendera.
 
Inawezekana akawa Mkapa au Jk aliruhusu agawe Nyumba mbona hakuzirudisha alivyopata mamlaka vipi kuhusu kile kivuko alichokimbizia jeshini acheni ujinga mtu wenu alikuwa wa hovyo tu
Hujui hata unachoongelea.
 
Wahalifu wanapopata forum ya kuzungumza...huwezi kuwa na utajiri unaotokana na zao la uhalifu ukaachwa sehemu yoyote duniani..inashangaza hawa watu wanazungumzia kunyanganywa mali zao leo bila ya kutueleza wamezipataje.rubbish
 
Tunaendelea kusubiri mwimba pambio wa enzi hizo a.k.a mwana sgang.
 
Ibilisi amekuwa baba wa watawala wengi sana, ndio maana vita yao ni ya damu na nyama
 
Wahalifu wanapopata forum ya kuzungumza...huwezi kuwa na utajiri unaotokana na zao la uhalifu ukaachwa sehemu yoyote duniani..inashangaza hawa watu wanazungumzia kunyanganywa mali zao leo bila ya kutueleza wamezipataje.rubbish
Je mali za watawala wanazipataje tena ktk vipindi vifupi?
Ni vyema ukitumia busara kuwaza na kutoa maoni kuliko kudemka.
 
Sina haja ya kuwa na hasira ni mawazoyakotu.
Sasahivi hayupo tumeni wakaguzi wakague, ripoti ipelekwe bungeni ikajadiliwe au kama kunaripoti ya zamani ambayo ilizuiliwa sasa sindio ichinguzwe!!.

Kusema alikuwa anatumia mikopo alafu anasema nipesa zetu nihoja ya kipuuzitu labda uniambie madharayake ni nini, pesa ndio hizohizo ilimradi tunalipa wenyewe ndio pesazetu hizo.

Roho mbaya inategemea uliingia vipi kwenye 18 zake.
Tulifikia mahali ambapo tulitakiwa kupata mtu kama Magu iliatutingishe akilizetu kujua madhaifu mengi ya uongozi na ubadhilifu wa malizauma.

Kama unajiona mzalendo na unafikiri hatukuhitaji mtu wa ainaile kwa hali tuliyo fikia mfano mdogo tu,kuwekwa jiwe la msingi kuzindua ujenzi kabla hata ya kusaini mkataba, basi wewe ulikuwa mfaidika wa mfumo wa ufisadi.
 
Watambinya kende huyu mzee sio muda! Anajisahau,awamu ya mwanamke hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…