Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

Hahahahaha aisee, na hapo waumini ni shangwe tuu.

Mandnga mtu kazi kamaliza pambano kuzimu, jomba sheti kapanda mtumbwi wa vibwengo
 
Na hapo ndo wengi mmekamatwa...eti "Wachawi" na "Majini"

Unajiita mkristo halafu unataja "Majini"!?...unayajua majini wewe!?...unaifahamu Surat inayotaja majini!?...Unalijua fundisho la kikristo lolote linalo eleza majini?

Mmejichongea vinyago vya kujitisha wenyewe...mfano Laana za ukoo...Mnawatukana babu zenu ndo wamefanya msifanikiwe kisa wana laana...hivi babu zetu na babu za Wazungu na Waarabu nani anastahili laana...!? sio babu zao waliotuchukua utumwa na kutufanyia ukatili wa kinyama na kuwauwa babu zeti chungu nzima baharini na kazi za hatari kwa mateso makali?

Mnajitisha kwa kujiaminisha kila changamoto ya maisha ni "Pepo"...kukosa kazi pepo...kutokuelewa pepo...nk

Mnatajataja kuzimu na mambo ya kujiumbia ya kutisha kama uchawi na shetani halafu mnaanza kufanya maigizo yenu mbele ya kadamnasi mkilialia na kuanguka kiasi wengine kuwehuka kabisa halafu mnakuja kutuambia mmeokoka

UKWELI MNAUAIBISHA UKRISTO...NA MATUNDA YAKE NI HAWA MANABII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili hii imeshaharibika...uko wapi Wokovu ambao Wakristo sasa tunapaswa kutembea nao kifia mbele!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refa wa pambano alikuwa nani? Je kamisaa alitoka wapi?

Usikute alitoka na Marefa wake huku duniani wakampendelea.

Haya tuseme pambano la kwanza ndiyo limefanyika huko motoni..je marudiano yatafanyikia wapi? Ili shetani naye ajiulize kwa nini kapigwa kizembe!
 
Hata wewe umetudanganya
 
Prophet Odumeje hapendi aiba hii ya maswali
 
Shetani anamiliki mikanda mingi sana. Jamaa kaenda kuchukua mmoja kibabe sana. Tena closed doors

Wajinga washaliwa hapo.
 
Nabii amerogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…