Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
π πNASIKIA ZUMARIDI, π
Shetani mbayaYote hata ilimradi ukristo utukanwe.
View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Nani amekwambia huyo sio mkristoNani amekuambia huyo ni Mkristo?
Na tunavyojua mkanda huwa unaenda sambamba na kitita jee kapata ngapi ili kondoo wake wajue ikiwezekana weekend hii asichukue sadakaAtueleze kulikuwa na ambulance ngapi?
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Wewe hapa ndio umejidhalilisha kwa kutofahamu mkristo hasa ni nani.Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
Cross over night, duh..... kweli usidhani unajua kila kituHakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.View attachment 2411407
Kwani huna mkanda wa kumuazima pastor kibuyu wa Nigeria?Akaa mi sikuwepo huko peponi[emoji849]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππ
Ukristo unahusikaje kwenye ujinga wa binadamu?.Hayo ni mambo na vitendo vyakijinga vya watu wala havihusiani na ukristo.Ukristo ni jambo jingine kabisa.Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba namna za pusha wa pasta
Shetty'nin!ππππ.Hiyo closed door nani alishuhudia?
Alimuacha shetty katika hali gani?
Hata selfie na shetani aliyejikunyata kwa kipondo hajatulete...
Mimi nimegoma kumuamini nabii
Jina la shetani anapoitwa kikijiweni-jiweniShetty'nin!ππππ.