Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Ukiamini Mungu yupo kweli, hutakiwi kukataa kuwa habari hii inawezekana kuwa ya ukweli.
Kweli aisee lazima kuamini ukiwa na Mungu.
Kwamba alikuwa pekee yake akafariki hàlafu akampigia simu mwanae akaja kumfufua.
Kweli Mungu anatenda miujuza hadi maiti anapiga simu.... Njooo nimekufa unufufueee! Amen.
 
Kweli aisee lazima kuamini ukiwa na Mungu.
Kwamba alikuwa pekee yake akafariki hàlafu akampigia simu mwanae akaja kumfufua.
Kweli Mungu anatenda miujuza hadi maiti anapiga simu.... Njooo nimekufa unufufueee! Amen.
Hakuna msingi wa kimantiki wa kukataa muujiza huu ikiwa unaamini katika Mungu wa miujiza.

Ukiutilia shaka muujiza huu, umetilia shaka imani yako ya Mungu wa miujiza.

Ila, mtu kama mimi ambaye siamini katika huyo Mungu, nina msingi mkubwa sana wa kimantiki wa kukataa habari hizi.
 
Kweli tumwombe Mungu kwa bidii ili tukifa atupe simu tupige kwa manabii waje watufufue.
 
Kweli tumwombe Mungu kwa bidii ili tukifa atupe simu tupige kwa manabii waje watufufue.
Mungu angekuwepo, usingehitaji kumuomba chochote.

Kwa ujuzi wake, uwezo wake na upendo wake, angekupa unachotaka na kuhitaji kabla hujamuomba.

Ukiona sehemu yoyote unahitaji kumuomba Mungu, huo ni ushahidi kwamba Mungu hayupo, unajifariji tu.
 
Hivi
Ni kwamba hawa watu ni matahira au wanawaona watu ni mataahira?
 
MH wajinga ndio waliwao ,huyu kaka anayejiita nabii Ni mfanyabiashara kama wafanyabiashara wengine Tu.
 
Na waliomo kanisani wakaitikia "Ameen!"


Inahitaji Akili imwshindwa kabisa kung'amua kinachoongelewa hapo yaani mpaka hata akili za kuazima hazimo!
 
Sawa mkuu nadhani tuishie hapa.. But mimi naamini Mungu yupo
 
Sawa mkuu nadhani tuishie hapa.. But mimi naamini Mungu yupo
Kuamini si tatizo.

Kuamini ni haki yako ya kikatiba, katiba ya Tanzania na karibu za ncho zote zina vifungu vya kutoa haki ya kuamini.

Pia, uhuru wa kuamini ni haki ya watu wote, ipo katika Universal Declaration of Human Rights, tangu December 10 1948.

Hivyo kuamini si issue, hii ni haki yako, hata haihitaji mjadala.

Unaweza kuamini chochote, hata uongo, hiyo ni haki yako.

Cha msingi ni, ukweli uko wapi?

Kwa sababu, unaweza kuamini hata uongo.

Imani yako si kitu interesting kwangu, kwa sababu kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka.

Lakini je, ukweli ni nini? Ukisema unaamini Mungu, Mungu yupo kweli?
 
Tatizo manabii wa siku hizi wanadhani shuhuda za uongo ndio zitawaletea watu kumbe sio. Watu wanasombwa na mafuriko hakuna anayeona, ila shuhuda za uongo ndio zimejaa.
 
Kuna uzi wa jf.. uliandikwa "Dini ipo kwa ajili ya Low Minded People" alieandika huo uzi alitoa fact na watu wengi waliunga mkono hoja za mada hiyo.
Lakini wengi nazani walishindwa kuelewa maana ya dini,
Dini ni tendo linalotokana na Imani fulani (mambo ya rohoni), pale tu mtu anapoamini uwepo wa Mungu au hata uwepo wa shetani au hata kitu chochote kisichoonekana cha kuabudiwa basi hapo hapo dini inazaliwa, ndipo hapo utaona mtu anajiwekea miiko Fulani ya kufuata au utaratibu Fulani au ustaarabu Fulani.
Hivyo, ukweli upo kwa mtu mwenyewe
 
Ukiamini kwamba unaweza kuruka kutoka ghorofa la kumi halafu Mungu wako akakudaka usiumie, ukaruka kweli, ukafa, hiyo imani kwamba Mungu wako atakudaka usiumie inakuwa si ya jambo lililo kweli.

Hivyo hapo, ukisema "hivyo, ukweli upo kwa mtu mwenyewe" si sawa.

Hapo, uongo upo kwa mtu mwenyewe.
 
Wewe huna jeuri ya kuelekeza yeyote kwenye masuala ya kiimani hadi uache kuabudu huyu na mauchafu yake MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245
Sawa ila ndio nenda kanisani ukaimbe na kufufuana ndio ujinga wenu huo kwani ujinga huwa hamuachi nyie mnadanganyana kama mmezaliwa jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…