Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Huyu bibi acheni kumdanganya hakuna mtu wa bara anayemtaka wala kumpenda ni kwamba basi watu wamekaa kimya lakini hatumtaki
Mtu was bara au wakiristo wenye Kama wewe na wenzako wachache!!?
 
Wewe ndio humtaki kwa sababu JPM kuua watu ndio ilikuwa furaha yako. Tumempata Rais wa haki ndIo maana kila mtu anaishitakia serikali iliyopita kwa mama.
Kwa hiyo wewe unaona hii ni serikali mpya? Ukitoa marehemu, viongozi wengine wote ni watendaji wa Chama, na walikuwa madarakani enzi za JPM, leo hii unapowatofautisha na utawala JPM wakati ndio wale wale naona bado hujakua ndugu.
 
Alichaguliwa na nani? alipata kura ngapi? mpuuzi wewe endelea kufurahia vyeo vya wazanzibar wenzako sababu huwezi kufanya kazi
Hajachaguliwa na mtu lakini ni RAIS wa Tanzania.

Hutaki chukua kamba JINYONGE UFE Uzikwe Uoze unuke🤣🤣🤣

IMG_20211103_093523.jpg
 
WeWe ni tajiri kila sekunde unalalamika humu kama malaya aliyenyimwa pesa baada ya gegedo.

Samia ni Rais na hakuna kitu unaweza KUFANYA.

Hutaki JIUE UFE UZIKWE UOZE UNUKE
Wazanzibar mnafurahia kupora ardhi yetu bure
 
Kwa hiyo wewe unaona hii ni serikali mpya? Ukitoa marehemu, viongozi wengine wote ni watendaji wa Chama, na walikuwa madarakani enzi za JPM, leo hii unapowatofautisha na utawala JPM wakati ndio wale wale naona bado hujakua ndugu.
Hii Ni awamu mpya ndo Mana aliapa vinginevyo kiapo kingebaki Cha jpm yeye akaendeleza kiapo kilekile.

Na ndo mana yuko tofauti kabisa na jpm. Jpm alikuwa anaua lakini yeye amekuja tofauti. Jpm alikuwa hatoi ajira au haajiri na alikuwa anapora watu pesa kwa kuvamia account zao lakini mama hawezi kufanya upumbavu huo.
 
Back
Top Bottom