Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Wewe ndio humtaki kwa sababu JPM kuua watu ndio ilikuwa furaha yako. Tumempata Rais wa haki ndIo maana kila mtu anaishitakia serikali iliyopita kwa mama.

jpm kamuua nani!!

huu ujinga ndio unafanya muonekane wapuuzi mbele za watu timamu.
 
Sisi bara tunamtaka yeye ili mauaji yakome na tuishi kwa raha Kama sikukuu iliyopita kila mtu alikuwa na raha Mana mzunguko wa hela umerudi kwa kasi. Si unaona hata akina ndugai wamechanganyikiwa Mana watafikiwa tu soon kwa uonevu walioufanya. Mama ameshasema anaogopa kwenda motoni na anamuogopa Allah tu na ujue yeye ndo kigogo mwenyewe.

kwamba kafungua uchumi[emoji16][emoji16].

ila chawa ni kiumbe wa hovyo sana.
 
Huyu bibi acheni kumdanganya hakuna mtu wa bara anayemtaka wala kumpenda ni kwamba basi watu wamekaa kimya lakini hatumtaki
Hakuna anaemdanganya hata kidogo, ana sura ya utu kweli, ndiyo maana watu wanasema leo na sio jana wakati wa tukio. Hebu fikiria mtu anamiminiwa risasi na hakuna kesi, mtu anavamiwa kwenye kituo chake cha matangazo na hamna kesi, mtu anatolewa bastola mchana kweupe na hakuna kesi, watu wanadukuliwa simu zao na hakuna kesi.
 
Sikujibu tena wewe dada naona upo kwenye cku zako. Asante mkuu
Sawa, nenda kapelekewe moto.

Ila usizae mtoto mwenye makengeza kama mwenyekiti

IMG_20211103_093523.jpg
 
Mama Samia Mitano tena
Na akimaliza aje Hussein Mwinyi na akimaliza Mwinyi aje Makame Mbarawa na amalizie Othman Masoud
Aisee umeongea point kubwa, bora tutawaliwe na wazanzibar, hii mitanganyika mingi ni miuaji na mijizi
 
Mwingira anahojiwa lini na polisi? 😁
 
jpm kamuua nani!!

huu ujinga ndio unafanya muonekane wapuuzi mbele za watu timamu.
Azori gwanda, Ben saanane, mfanyakzi wa mwingira nk Kuna wengine walikuwa wanaokotwa kwenye viroba na usisau kipindi Cha uchaguzi wanachadema walitekwa Sana wakiwa wanaorudisha form ili kupisha kupita bila kupingwa. Yule hakuwa mtu bali sheitwani Kama mwingira alivyomuita
 
Sisi bara tunamtaka yeye ili mauaji yakome na tuishi kwa raha Kama sikukuu iliyopita kila mtu alikuwa na raha Mana mzunguko wa hela umerudi kwa kasi. Si unaona hata akina ndugai wamechanganyikiwa Mana watafikiwa tu soon kwa uonevu walioufanya. Mama ameshasema anaogopa kwenda motoni na anamuogopa Allah tu na ujue yeye ndo kigogo mwenyewe.
Wanashangaa nchi imetulia tuliii, hawakutegemea mama ataupiga mwingi kiasi hiki. Hata simbachewene ni masalia ya awamu zilizopita, asijekumharibia mama, awaache watu watoe yao ya moyoni kwa Rais wao. Hii wanayofanya inaitwa mental ventilation (mental cathasis), inasaidia sana kuponya watu na taifa pia.
 
Mwingira anahojiwa lini na polisi? 😁
Alikurupuka Bwana Chawene, mambo aliyoagiza yafanyike Rais aliyepo alishayakataa, kifupi Dramas na kuwapa watu headlines utawala huu havina nafasi! Ndiyo maana kwa sasa watu wanaokoteza headlines za hovyo za mirinda na fanta!
 
Hakuna anaemdanganya hata kidogo, ana sura ya utu kweli, ndiyo maana watu wanasema leo na sio jana wakati wa tukio. Hebu fikiria mtu anamiminiwa risasi na hakuna kesi, mtu anavamiwa kwenye kituo chake cha matangazo na hamna kesi, mtu anatolewa bastola mchana kweupe na hakuna kesi, watu wanadukuliwa simu zao na hakuna kesi.
Mbowe kafanywa nini?
 
Back
Top Bottom