Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Tuwaombee ili waendelee kusomesha watoto wao expensive schools in kenya kama Aghakhan academy mombasa sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu baali pengine?What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Tuwaombee Ili kugombana kwao kusiumize raia wasio na hatia,Tuwaombee ili waendelee kusomesha watoto wao expensive schools in kenya kama Aghakhan academy mombasa sio
Let them burnTuwaombee Ili kugombana kwao kusiumize raia wasio na hatia,
Wakabidhi chama kingine Kwa Amani kabisa.
Labda mungu na sio MunguWhat if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
mkinga kawa nabii? dah. hongera zake.Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Sasa Unadhani CCM inaingiza bila Mungu kuruhusu?Labda mungu na sio Mungu
Ukiokoka unabadilishiwa kabila, unakuwa Myahudi pure, raia wa Mbinguni, Si Mjinga tena!!mkinga kawa nabii? dah. hongera zake.
ni kweli. shida ni kama huyo nabii kaokoka au ni hawa tuliowazoea wakiuza maji, mafuta, unga na chumvi.Ukiokoka unabadilishiwa kabila, unakuwa Myahudi pure, raia wa Mbinguni, Si Mjinga tena!!
Msigwa na msaidizi wa Mdee wamechomekwa na CDM humo CCM kimkakati bila wenyewe kujijua wakipumbazwa na usanii wanaotumia kuwashambulia CDM.Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Hawa waganga wa kienyeji wanojiita.manabii wanatafuta helaSalaam, Shalom.

Jambo hili halina ushahidi,Msigwa na msaidizi wa Mdee wamechomekwa na CDM humo CCM kimkakati bila wenyewe kujijua wakipumbazwa na usanii wanaotumia kuwashambulia CDM.
CDM mnashauriwa kutowajibu wote waliotimkia CCM ila mjibidishe kitaalamu zaidi kupata taarifa zote nyeti kutoka kwa wasuka mipango na kuifanyia kazi bila kuitangaza kwenye majukwaa ya kisiasa......you will outsmart the devil out-rightly....period!!
hakuna umuhimu wowote kwa chadema kuichunguza ccm, kwasababu hakuna kitu chadema wasichokijua kwa ccm, na hata kujua kwao hakuna madhara yeyote kwa ccm. ukweli uliopo ni kwamba msigwa na yeyote anayeondoka wamechoka na umwinyi wa mbowe na soon hata Lisu ataondoka ama la, atakuwa kimyaaa harakati zote ataziacha. why? baada ya kulamba asali.Msigwa na msaidizi wa Mdee wamechomekwa na CDM humo CCM kimkakati bila wenyewe kujijua wakipumbazwa na usanii wanaotumia kuwashambulia CDM.
CDM mnashauriwa kutowajibu wote waliotimkia CCM ila mjibidishe kitaalamu zaidi kupata taarifa zote nyeti kutoka kwa wasuka mipango na kuifanyia kazi bila kuitangaza kwenye majukwaa ya kisiasa......you will outsmart the devil out-rightly....period!!
mzee yahaya ndiye alifanya nikaamini na bado nasubiri moja ya tabiri zake itimie ili ujenzi wa sanamu lake ufanyike bila hiyana.
Ni sawa na mimi sasa hivi kusema, kesho itakuwa jumanne, tuiombee sana nchi yetu.
Hapo hakuna unabii, mwambieni huyo mtu afanye kazi za uzalishaji mali aache ujanja ujanja na kutafuta umaarufu.
mkinga kawa nabii? dah. hongera zake.
Eti, ni kwanini nje ya nyumba zile za Ibada, Kuna viongozi wanauza dawa za kumiliki majini?Ukristo hata Tito ni Nabii 😛😛😛
Eti, ni kwanini nje ya nyumba zile za Ibada, Kuna viongozi wanauza dawa za kumiliki majini?