Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Nasikia yule mkuu wa wale wanaovaa mabaka mabaka nae tia maji tia maji
 
Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.

Utabiri huu umefaulu kufeli
Mkuu huoni kama kweli corona ilitoweka haraka 2020 lakini kutokana na blunder za uchaguzi imerejea tena! Mungu si wakufanyia majaribio, hata waizrael walipogeukia uovu baraka zao zilitoweka na kuwa watumwa kwa wafilipi.
 
Corona ilikimbia joto lakini pia ilichukua likizo kidogo
 
Amuulize Kakobe alibanwa mpaka akajikuta ameingia kwenye ndege huku akisema CCM hoyee!
 
Back
Top Bottom