Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

Huyo nabii kwanza angeweka wazi utakatifu wa Mbowe ni upi,kama kweli mtu mlevi,mzinifu mwizi wa fedha za taasisi anapendeza mbele za macho ya Bwana.
Alitabiri Jiwe limeng'oka na ikawa usimchukulie poa
 
Amenifikirisha kiukweli .utawala umeondoka,ulinzi umeondoka dah ukisema nimapenzi ya Mungu tu bado sisawa
Anatisha ..kama tafasiri ya kiroho ni hivyo lipo jambo Kweli...dalili zinaonyesha ..Mama Kapoteza mvuto ghafla mno kwa Wengi...Inashangaza wanadiplomasia kujazana Kisutu na Wanasheria wao..na BARAKOA zao????Yetu Macho...
 
Ccm ilishakufa zamani kuna kikundi cha watu tu wachache kinalinda maslai yao binafsi kutumia plc
 
Unatabiri kwaajiri ya kuonya ts biblical bro, mimi kuna watu wawili walishawahi kunitabiria the same thing mmoja ni muarabu nadhani ni mpemba na mwingine ni mtu tu wa maombi wala hanahuduma yeyote walichokiona kwangu kilikua sio kitu poa but nikirekebisha mambo flan nitakua matata balaa tatizo ujana mpaka leo natembelea rim sababu sijafata ushauri wa yeyote
 
Tangu lini rais akaachia magaidi


USSR
 
SSH kasha lewa madaraka. Thanks
 
Vipi huyo nabii wenu anasemaje kuhusu Sabaya?
 
Kama unataka rais amwachie Mbowe,muombe.
Vitisho vitaleta balaa.
 
huu uhuru umepitiliza, anapoongea hayo hajui chochote kilichopo kwenye upelelezi. nadhani ifike kipindi serikali ishughulikie kwa dhati watu kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…