Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Tafuta helaTajiri mwenye mipasho yake..🥹🥹
YahUvivu na Uzembe
Tafuta helaJF kila mtu tajiri😂😂
Sawa tajiri wa kuchora 🥺🥺Tafuta hela
Tafuta helaSawa tajiri wa kuchora 🥺🥺
Umetisha aisee,ungekutana na Diamond akiwa na miaka 15,ungemtemea mate, u maskini sio kilema, lakini Leo, unaweza ukampa shikamoo!Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe
Nina huo mpango wa kuwalamba risasi masikini wotePigab risasi masikini wote...baada ya hapo matajiri nitakuwa mbapeana vibarua vya kazi ndogo ndogo za kutumia nguvu
Diamond ndio masikini ganiUmetisha aisee,ungekutana na Diamond akiwa na miaka 15,ungemtemea mate, u maskini sio kilema, lakini Leo, unaweza ukampa shikamoo!
Mwenye pesa hajigsmbi!
Ila kama unazo, hongera Sana,
U maskini usikie tu
Tafuta helaMaskini akipata mataqo huwasha na hulia mbwata
Nani atakuwa anakuzibulia chooNina huo mpango wa kuwalamba risasi masikini wote
Tajiri anyiNani atakuwa anakuzibulia choo