Keshaenda kuanzisha thread mpya huko kwa ID nyingine😂😂😂.ana boa ujue
Akidai maskini wanajazana PM kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshaenda kuanzisha thread mpya huko kwa ID nyingine😂😂😂.ana boa ujue
ana heka hekaKeshaenda kuanzisha thread mpya huko kwa ID nyingine😂😂😂.
Akidai maskini wanajazana PM kwake.
Mkuu hela ni risasi tosha nowadaysTafuta hela hasira za nini masikini wewe nitakulamba risasi
Huyu binti mshamba tatizoNipo alhamdulilah, Simchekagi wala simsimmangi asiye na senti tano, pesa kitu gani?, (pesa has no guarantee inaweza kukuhama tu kwa hiyari yake na utastaajabu)
Kati ya mzee yusuph na hadija kopa, unampenda naniKatika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana