Nachukia sana masikini

Nachukia sana masikini

Nipo alhamdulilah, Simchekagi wala simsimmangi asiye na senti tano, pesa kitu gani?, (pesa has no guarantee inaweza kukuhama tu kwa hiyari yake na utastaajabu)
 
Tupeane koneksheni mkuu. Hata mimi nachukia umasikini sema kila nikitaka kujikwamua CCM wananirudisha nyuma. Hebu nipe mbinu za kuuaga ili niache kutamba jukwaani kama wewe
 
yupo kama fala
Mkuu embu usiwe serious sana.😂😂😂😂.Kijana anajifurahisha tu na kujipa matumaini.
Mvulana akiropoka mwanaume unasikitika tu na kumsamehe maana akiwa mwanaume ataacha.
 
Mkuu embu usiwe serious sana.😂😂😂😂.Kijana anajifurahisha tu na kujipa matumaini.
Mvulana akiropoka mwanaume unasikitika tu na kumsamehe maana akiwa mwanaume ataacha.
ana boa ujue
 
Back
Top Bottom