Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Nataka nikuoe wewe bila kukuonga hata 100, mimba 3 tu utaupenda umasikiniUmeolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nikuoe wewe bila kukuonga hata 100, mimba 3 tu utaupenda umasikiniUmeolewa
unajitekenya mwenye af unachekaMuda wa kujibizana na masikini umeisha ngoja nikale bata
Huyu Mama mimba changa inamsumbuasi hawajawai shika
🤣🤣🤣🤣🤣Vijana wanapata matatizo ya afya ya akili hawana ajira oneni huyu ameanza kuota yeye ni tajiri
sio siriHutu Mama mimba changa inamsumbua
Karibu nikuoe bhasi.Muda wa kujibizana na masikini umeisha ngoja nikale bata
White party ilikuwaga 🔥🔥🔥Halafu hana adabu mshenzi huyu😂😂😂😂😂😂.
Unamueleza ukweli anakwambia eti "tafuta hela".
😂😂😂😂😂😂
Hivi JF hakunaga party ya kukutanisha members wa JF!?
Maana niliwahi skia sijui kuna white party.
Karibu nikuoeMasikini endeleeni kunijadili napenda sana comment zenu sababu munalialia na umasikini wenu Mimi naenda kula Bata na watoto wakali mda huu tukutane kesho🤣🤣🤣🤣
we akil zako hazna akiliUsiniandikie gazeti la kulialia Mimi tafuta hela nitakulamba risasi ukirudia tena kuandika gazeti
Usiniandikie gazeti la kulialia Mimi tafuta hela nitakulamba risasi ukirudia tena kuandika gazeti
Usiniandikie gazeti la kulialia Mimi tafuta hela nitakulamba risasi ukirudia tena kuandika gaz
jaman huyo n mwendawazmu jaman msibishane naeAlienipa wewe unamjua
Nimebet billion 1 Leo kwangu ni pesa ya mboga tu![]()
acheni dharau na vipesa vya keep chanj
jisemee kwa nafasi yakoSiyo dharau bro, usipokuwa mkweli unapoishi na watu, unapolea watoto wako na hata kwako wewe mwenyewe binafsi ni majanga. Tukubali tu ukweli, licha ya kuwa unauma. Umasikini wetu kwa kiwango kikubwa ni kwa sababu yetu sisi wenyewe.
kwaio na wew wazo lako lp mbona huelewekSiyo dharau bro, usipokuwa mkweli unapoishi na watu, unapolea watoto wako na hata kwako wewe mwenyewe binafsi ni majanga. Tukubali tu ukweli, licha ya kuwa unauma. Umasikini wetu kwa kiwango kikubwa ni kwa sababu yetu sisi wenyewe.
Hapana utamkuta anaulizia namna ya ku upload vyeti ajira portal.Baada ya miezi 4 unakuja na thread ya kuchangiwa pesa sijui kuna ugonjwa unakusumbua, wakifukua kaburi unaumbuka, labda uje na ID nyingine. Usitukane maba kabla haujavuka mto. Si kila masikini ni mvivu, wengine ni mfumo umewafanya kuwa hivyo anachakalika sana ila bado pesa hazipati au anazipata lakininhazikidhi majukumu yake.
nimesikia faraja sana kua thread moja na tajiriKatika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana