Nachukia sana masikini

Nachukia sana masikini

Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana
Acha ubaguzi,aliekupa ndio aliewanyima pia.
 
Acha majivuno wewe, usifikiri kila aliye masikini ni mzembe wengine wanapambana sana na wanafanya juhudi na bidii kubwa kutafuta pesa kuliko hata wewe ila hawapati, na siyo kwamba wamemkosea Mungu ,ni neema tu ya kupata pesa haijawafikia.

Wewe kama unautajiri kama unavyojigamba mshukuru Mungu halafu tumia huo utajiri wako kuwasaidia masikini kuliko kuwachukia

Halafu kwa maneno yako na majigambo inaonekana kichwani kwako kuna kitu hakipo sawa inabidi uachwe tu na akili zako,,, kuna mstari kwenye Biblia unasema.. "Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka. "
Nitakutwanga risasi ukirudia tena kuandika gazeti kama hili tafuta hela masikini wewe
 
Mirembe leo visiting day,nani sijui kawapa vichaa simu🏃‍♀️matokeo yake ndo haya haka kasichana kana tabu sana.
 
Back
Top Bottom