Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubaguzi,aliekupa ndio aliewanyima pia.Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana
Nitakutwanga risasi ukirudia tena kuandika gazeti kama hili tafuta hela masikini weweAcha majivuno wewe, usifikiri kila aliye masikini ni mzembe wengine wanapambana sana na wanafanya juhudi na bidii kubwa kutafuta pesa kuliko hata wewe ila hawapati, na siyo kwamba wamemkosea Mungu ,ni neema tu ya kupata pesa haijawafikia.
Wewe kama unautajiri kama unavyojigamba mshukuru Mungu halafu tumia huo utajiri wako kuwasaidia masikini kuliko kuwachukia
Halafu kwa maneno yako na majigambo inaonekana kichwani kwako kuna kitu hakipo sawa inabidi uachwe tu na akili zako,,, kuna mstari kwenye Biblia unasema.. "Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka. "
Alienipa wewe unamjuaAcha ubaguzi,aliekupa ndio aliwanyima pia.
Wewe unamjua kwani.Alienipa wewe unamjua
Nakuuliza wewe unaesema alienipa wakati Mimi hizi pesa ni zangu jiangalie nitakulamba risasiWewe unamjua kwani.
Tafuta hela fukara wewe umejaza mindevu kibao pes huna Mimi mtoto mdogo ila pesa nyingi njoo ufagie Banda la mbwa wanguUtu tu tuvulana sijui kishichana twa 2000 tuna tabu sana kichwani.
Tafuta helaHata Tupaki Alikuwa hafoki hivi.
Hii hipapu imezidi Abduli.
😎😎😎....mbwa mwenye mnofu habweki.Tafuta hela fukara wewe umejaza mindevu kibao pes huna Mimi mtoto mdogo ila pesa nyingi njoo ufagie Banda la mbwa wangu
Tafuta hela nitakulamba risasi masikini wewe😎😎😎....mbwa mwenye mnofu habweki.
Punguza hasira,tafuta hela.
We unazo Chifu Godilav ?Tafuta hela
Pesa zipo nyingi sanaWe unazo Chifu Godilav ?
Tafuta hela fukara weweLala tena ubadilishiwe ndoto
Tafuta hela fukara wewe unahasira za nini nitakulamba risasiMirembe leo visiting day,nani sijui kawapa vichaa simu🏃♀️matokeo yake ndo haya haka kasichana kana tabu sana.
Karibu,nikuoe.Tafuta hela nitakulamba risasi masikini wewe
Masikini ndio hua mnaolewaKaribu,nikuoe.