Nachukia sana masikini

Nachukia sana masikini

Uliwahi kumsikia tajiri anapiga kelele??
Au uliwahi kumsikia MWANAUME WA KWELI anamdharau aliye chini yake!!??
Tajiri wa kweli hukaa kimya na mwanaume wa kweli humuheshimu mwenzake kwasababu anathamini juhudi za utafutaji.
Tafuta hela hayo maandishi hayatikutoa kwneye ufukaraa ulionao
 
Uliwahi kumsikia tajiri anapiga kelele??
Au uliwahi kumsikia MWANAUME WA KWELI anamdharau aliye chini yake!!??
Tajiri wa kweli hukaa kimya na mwanaume wa kweli humuheshimu mwenzake kwasababu anathamini juhudi za utafutaji.
Huyo kijana anaota, goja amalize kujikokolea kwenye njozi yake.. ataukimbia Uzi wake πŸ˜…πŸ˜…
 
FB_IMG_17243355589360140.jpg
 
Back
Top Bottom