Nachukia sana masikini

Uliwahi kumsikia tajiri anapiga kelele??
Au uliwahi kumsikia MWANAUME WA KWELI anamdharau aliye chini yake!!??
Tajiri wa kweli hukaa kimya na mwanaume wa kweli humuheshimu mwenzake kwasababu anathamini juhudi za utafutaji.
Tafuta hela hayo maandishi hayatikutoa kwneye ufukaraa ulionao
 
Huyo kijana anaota, goja amalize kujikokolea kwenye njozi yake.. ataukimbia Uzi wake πŸ˜…πŸ˜…
 
Tafuta hela hayo maandishi hayatikutoa kwneye ufukaraa ulionao
Nina uwezo wa kuilisha familia yako.
Ila sina haja ya kujitapa kwasababu hilo ni suala binafsi.

Sawa kijana!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…