Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Samahani dada mkuu kwa hili swali.

Mumeo hajawahi kukubandulia huko jikoni?

Sawa hutaki afunuefunue mabakuli huko jikoni mwenye siwezi iyo tabia ya kiwaki labda niwe napika Mimi wenyewe iyosiku,
Vipi mumeo akija aku surprise kimoja huko jikoni then akaondoka bila kufunua masufulia Hapo si atakuwa amesha kuja jikoni.

Iyo nayo hutaki?
 
Mwingine alisema jitu unalipikia limekaa huko sebuleni hata kuja jikoni kukushika tako haliji akamalizia kwa kusema "kwani mimi dadaako" KUWAELEWA WANAWAKE WANATAKA NINI NI KAZI SANA🤣🤣🤣🤣
 
Pengine kakumisi tayari...
 
Mwingine alisema jitu unalipikia limekaa huko sebuleni hata kuja jikoni kukushika tako haliji akamalizia kwa kusema "kwani mimi dadaako" KUWAELEWA WANAWAKE WANATAKA NINI NI KAZI SANA🤣🤣🤣🤣

Only God knows
 
Mwe, mwe ...Tunajishirikisha wenyewe kwani hamtushirikishi na hamtambui kwamba na ss tupo tunajua kupika.🤣 Tupeni nafasi halafu muwage na nyie mnakuja kujipitisha-pitisha.😁
 
Kwamba anafunua masufuria daah au itakuwa anahesabu vipande vya nyama usije ukampa vipande vya nyama viwili...
 
Tunakuja kwa sababu zifuatazo:-
1: Kuwekewa limbwata kwa maji baada ya kusaifisha kibox.
2: Mnaonja sana hivyo hiyo ni doria
3: Inaweza kuwa umeficha kidume baada ya kurudi ghafla
 
Mmmh wakati wenzako wanapenda mambo hayo ya kutomaswa tomaswa akipika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…