Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

kwasababu unapenda kulakula ukija sebulen umeshashiba ndezi wewe. wacha wapare wakukomeshe.
 
Kuna m

Au pengine huo ndio hua muda wake wa kuchati na michepuko.
🤣🤣
Kabisa
Yaelekea anao wengi, angekuwa mmoja kwa hasira hizo angemhama, ila ni kama kila anayekuwa naye wanaachana kwasababu anamfuata jikoni, anyway hatujajua mkao wake huko jikoni labda unashawishi na waume wa wengine
 
Kunywa bear ntalipa
 
Heeee poleee...wky wenzio tunafatwa jikon tunabambiwa kwa nyuma nakupewa kiss la shingoni....[emoji38]
Huku akiuliza mke wangu unapika nini sio issue...
Ht akifunua sio issue maana atasifia tu mmh msosi unanukiaa.....

Be flexible mamaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahahahahah Dunia hii ngumu sana.
 
So romantic
 
Girls wengi hupend moments za kupika pamoja au kupishwa story mbili tatu na kupata walau wa kumwambia em nipe chumvi hapo.
We una mpango gani wa hatari hadi usitake beautful moments kama hizo bidada??
 
Hahhahaha umenichekesha.

Kweli tunatofautiana . ...Mimi nakumbuka mpnz wangu alikua anakuja jikoni unapika huku na yeye anajisevia ( Anakulick au kukufinger) then unaamua tu kumhudumia hapo cha faster jukoni...
Sili tena kwa watu Kama jiko linageuzwa sehem ya kushikana shikana msosi hauwezi kuwa safi
 
Aisee aje tu

Hata tutie story

Na kupata cha fasta jikoni wakati wa kukarangiza

Hizo sufuria afunue tu aisee hata akitaka kugeuza geuza ageuze

As long yupo pembeni yangu!!!!!!
 
Yaani kama ulikuwepo akili kwangu,, huwa nachefukwaa,, unasikia mbona kama maji mengi kwenye ye mchele,, si usubiri kiive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…