Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Wanawake wasiojua kupika utawatambuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au pengine huo ndio hua muda wake wa kuchati na michepuko.Labda huwa ana vikolezeo vya kuwapumbaza hataki vijulikane
kwasababu unapenda kulakula ukija sebulen umeshashiba ndezi wewe. wacha wapare wakukomeshe.Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
KabisaKuna m
Au pengine huo ndio hua muda wake wa kuchati na michepuko.
🤣🤣
Kunywa bear ntalipaNavyopenda uwepo wa mwanaume wangu jikoni Mimi Jamani..Yani sii ile muda wote..aje kidogo mara kiss za hapa na pale..kushtuliwa kidogo na vibao kunako wowowo..mara vikumbato vya nyuma na tumaneno tutam tam[emoji7]..kijiko kinazimwa kidogo kinapigwa kimoja Cha chap chap[emoji39][emoji39]..Yani Ili mradi taflani...Naenjoy uwepo wake kunako jiko tena mnooo
This is my hubby walah[emoji1787]Nakuja jikoni kukuhug from behind na kukubusu shingoni kidogo tu ndiyo unachafukwa na roho namna hii jamani??
Hahahahahahahahah Dunia hii ngumu sana.Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
hahahahaha" kabisa unakuta mchuz mzito kumbe kuna ka namnaWaganga hawachelewi kuwapa vitu vya kutulisha lazima tupige doria
So romanticHeeee poleee...wky wenzio tunafatwa jikon tunabambiwa kwa nyuma nakupewa kiss la shingoni....[emoji38]
Huku akiuliza mke wangu unapika nini sio issue...
Ht akifunua sio issue maana atasifia tu mmh msosi unanukiaa.....
Be flexible mamaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nilikuaga namuita mpnz wangu anipe company jikonimimi girl friend wangu watofauti hupenda nikae jikoni anapokaanga nampigisha story
Sili tena kwa watu Kama jiko linageuzwa sehem ya kushikana shikana msosi hauwezi kuwa safiHahhahaha umenichekesha.
Kweli tunatofautiana . ...Mimi nakumbuka mpnz wangu alikua anakuja jikoni unapika huku na yeye anajisevia ( Anakulick au kukufinger) then unaamua tu kumhudumia hapo cha faster jukoni...
Kuna wanawake wana ghubu!!!Nakuja jikoni kukuhug from behind na kukubusu shingoni kidogo tu ndiyo unachafukwa na roho namna hii jamani??
Yaani kama ulikuwepo akili kwangu,, huwa nachefukwaa,, unasikia mbona kama maji mengi kwenye ye mchele,, si usubiri kiiveYaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.