Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Kama mumeo anafanya hivyo basi kuwa na mashaka, usikute alishatonywa na watu kuwa wewe ni mchawi kama mademu wengine wa mjini, hivyo anakufuata jikoni ili tu ushindwe kumuwekea marogo kwenye chakula.Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Napiga doria usije ukaniwekea limbwata.Mambo ya kusimamiana katika kazi mwishowe kuharibu mi nakelekwa tu labda aje mwanamke mwezangu.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mimi binafsi naona hayo ni mapenzi, rahaaaa akija jikoni unampa supu kidogo, kipande cha nyama, karoti....
Baba chanja wangu huwa ananisaidia siku chache kila mwezi sasa nakerekaje akinifuata ninapopika mimi
Wengi Wana angukia cio na mwishowe kero ambazo hazina mpangilio kama ya mtoa mada.ANGALIZO : ISHI NA MWANAUME UNAEMPENDA HUTAONA HIKO KISIRANI
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Kero yako ni very relative concept.In depend na mazingira meengi sana ili ku i approve.Mfano wengi siku hz tumejenga na tunakaa kwenye nyumba a kisasa kiasi ambacho mtu/ mwanaume kupiga ruti za sitting- dinning- kitchen inakua ni ktka harakat za kawaida tu za mizunguko hao ndani.Tofaut na nyumba zilee za wazee wetu tuliokua tunakua kwamba upande huu nyumba kubwa af upande huu nyumba ndogo af kulia vyumb vya uani a kushoto kuna mabafu vyoo na jiko kias kwamba hata mtu akija jikon unahis kabisa kwel kakusudia kuja jikon tofaut na hio scenario ya kwanza
Umekua nao kama hao wangapi?Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Siku hizi Kuna majando kweli, mapori yenyewe hakuna, siku hizi uzungu mwingi pia.Mwanaume aliyeenda jando hawezi fanya hicho huyo dada anacholalamika hapo.
Hiyo tabia ni mbaya sana mwanaume kuchungulia kwenye sufuria kila wakati ni dalili za ulafi
Hayo ni mawazo yako bwana mzee na hufungwi kuwa nayo..and btw there is no crime on whatever i have said chunga husda inauaIssue yake ni mwanaume kufungua chakula na kukosoa, Sasa wewe naona tu umetaka kutuonyesha una French kitchen