Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Kama mumeo anafanya hivyo basi kuwa na mashaka, usikute alishatonywa na watu kuwa wewe ni mchawi kama mademu wengine wa mjini, hivyo anakufuata jikoni ili tu ushindwe kumuwekea marogo kwenye chakula.Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.