Maranja leo kaaandika vizuri, kalamba viatu kabisa. Hajajikwaa mbona.
Simkubali kabisa huyu bwana. Ila niseme. Tukio la Sativa , matukio yanayopoteza vijana, haswa wanaharakati, kushindwa kuwasaidia pale wanapofungwa hata kupotea. Ndugu zangu, kwa roho ya kawaida yanaumiza saaaaana. Sina nguvu yoyote kuitukana jamhuri yangu, sioni baya walilotenda hawa maraisi, ila kwenye blunder walau waongea.. ukimya unaumiza saaaaaaana.
Siungi mkono kutopokea misaada, ila siungi mkono kama serikali haisemei wala kutoa ripoti kwa kuhusu nchi. Too. Painful. Serikali itoe matamko, wether inaweza wakamata wahusika naa kuwekwa hadharani, wether hawa watu hawatowekwa hadharani ila washikishwe adabu.
Last thing tuliona kijana aliyemuua yule mtangazaji enzi zile ni askari na aliwajibishwa. Haitakiwi kushindikana ku taja au kuwataja watu wenye matendo hovu. Inaumiza sana.
Ila MMM na kundi lake waache kuignore pesa za misaada. Dogo yule hana mbele wala nyuma ni mcheza mikeka tu. Hawawezi endesha maisha yake. Kwa kumchangia tu. Kwanza nikuwapa vijana mzigo hata kama wapo wengi. Wachukue hela hizo. Istoshe dogo aliacha chuo.