Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

Utakuta matusi yenyewe ni huyo mama yenu ameambiwa ni "mwizi, fisadi ... Anauza Nchi ." Zama za Leo nikikutana na kijana kama wewe nakuchoma bisibisi ya tako.
 
Ukitaka kuwaona hao jamaa ni wajinga. Hizo kauli wanazozitoa kwa upande wa pili zitumie wewe viongozi wao wanapokosea watakushambulia vibaya mno.

Lugha hizo ni nzuri na sahihi kama wakizitoa wao na kuna wajinga kibao tu watawaunga mkono kwa kutoa lugha chafu.
Hebu ziweke hapa hizo lugha chafu!.
 
Hili puuzi limeona halimo kwenye mkeka limeanza kuja na viji thread vya ushakunaku na uchonganishi ili apate uteuzi, kapige jembe watoto wale no free lunch mpuuzi wew
 
Chawa at work,, picha tu nyie mbon mnatupiga matukio mpaks mengine mnashindwa namna kuyatetea.
 
kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi
Kama Boniface na Masese ni vijana uchwara, wanaharakati uchwara, wakombozi uchwara, kazi yao ya siasa ni uchwara, kwa nini wanakunyima raha ??????????????????
 
Wakati ametekwa watu wanapiga kelele rais hata hakutoa tamko,hao polisi na askari unaosema ni wabobevu ndo hao walimkamata na kumpeleka kwenye karakana yao Ostabay, amepatikana kaumizwa mnajitokeza kutafuta kiki
 
Maranja leo kaaandika vizuri, kalamba viatu kabisa. Hajajikwaa mbona.
Simkubali kabisa huyu bwana. Ila niseme. Tukio la Sativa , matukio yanayopoteza vijana, haswa wanaharakati, kushindwa kuwasaidia pale wanapofungwa hata kupotea. Ndugu zangu, kwa roho ya kawaida yanaumiza saaaaana. Sina nguvu yoyote kuitukana jamhuri yangu, sioni baya walilotenda hawa maraisi, ila kwenye blunder walau waongea.. ukimya unaumiza saaaaaaana.
Siungi mkono kutopokea misaada, ila siungi mkono kama serikali haisemei wala kutoa ripoti kwa kuhusu nchi. Too. Painful. Serikali itoe matamko, wether inaweza wakamata wahusika naa kuwekwa hadharani, wether hawa watu hawatowekwa hadharani ila washikishwe adabu.
Last thing tuliona kijana aliyemuua yule mtangazaji enzi zile ni askari na aliwajibishwa. Haitakiwi kushindikana ku taja au kuwataja watu wenye matendo hovu. Inaumiza sana.
Ila MMM na kundi lake waache kuignore pesa za misaada. Dogo yule hana mbele wala nyuma ni mcheza mikeka tu. Hawawezi endesha maisha yake. Kwa kumchangia tu. Kwanza nikuwapa vijana mzigo hata kama wapo wengi. Wachukue hela hizo. Istoshe dogo aliacha chuo.
 
Kapicha au kavideo leo hakuna kabisaa mkuu??
Unatukosea wachangiaji.
 
Ungesikia hapo kwa jirani jinsi raisi anavyo tukanwa kwa kushindwa kujua kuhusu kijana aliyepigwa risasi nane kama yuko hai au amekufa ungemshukuru boniface na masese kwa kuwa watashi wa maneno.
 
Yani mwanao anitwange na ujue, baadaye uone niko hospitalini natibiwa ujilete bila hata maelezo uanze toa hela ambazo haileweki ni msaada, pole, ama nini sijui huku hata mwelekeo wa kutatua haujulikani. Na mwanzo ulikuwa kimya kusikilizia nitaishia wapi. Je ningekata moto? Tumbaka!!! Nasikia kuna kisomo kinaitwa Surat nenda mbali, mi naakisaka cha surat shindwa mama achia wakweli
 
20240702_212230.jpg
 
I would have supported your mom if she needed an abortion.
 
Back
Top Bottom