Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Kuna mjeda aliwapa mikwara wanae
Sitaki kulea toto la mtu
Mim na mama yenu hatukutaka usumbufu ndio maana tumewazaa wawili
Sasa ninyi rukeni huko mkitegemea bibi atalea sihitaji kuzeeshewa mke utaondoka na mwanao kila mtu abebe mzigo wake
Kuna rafiki yake mama angu now yupo dar katoka tukuyu mwaka 2016 ile mpaka leo hajarudi yupo dar kulea wajukuu mwanae kazini yeye ndio yaya pale nyumbani
 
Nakupinga vikali sana mkuu.
Kwahiyo kwako ni bora mtoto alelelqe na mdada wa kazi kuliko mama yako mzazi?

Unapokubali kumpeleka mtoto wa kwa bibi yake kwanza ushajiridhisha kabisa na tabia ya mama yako ......

Pia wazazi wetu mara nyingi wao ndo huomba wakae na wajukuu wao.

Sioni kosa kabisa kama unapeleka mahitaji stahiki wazazi wangu wangekuwa karibu na huduma za kijamii kama shule,hospital nk mtoto wangu mimi ningewapa kabisa aishi huko
 
Kuna rafiki yake mama angu now yupo dar katoka tukuyu mwaka 2016 ile mpaka leo hajarudi yupo dar kulea wajukuu mwanae kazini yeye ndio yaya pale nyumbani
Inasikitisha huyo mwanae hajitambui huu ni muda wa huyo mzee kupumzika sio kulea wajukuu
Sema huyo bib nae poa hana cha kufanya kaamua kukubali kulea wajukuu ili akae mjini
 
Wakati uho wewe una majukumu ganu unatakiwa kujua maendeleo ya mwanao tangu akiwa mdogo mpaka anakuwa tengeneza bond na mtoto wako
 
Inasikitisha huyo mwanae hajitambui huu ni muda wa huyo mzee kupumzika sio kulea wajukuu
Sema huyo bib nae poa hana cha kufanya kaamua kukubali kulea wajukuu ili akae mjini
Sasaiv dar anaijua vzr mama angu anamchekaga tu
 
KuMpelekee mama yako wajukuu tayari wameshakuwa wakubwa wanajitambua
Ambao wanaweza kushughulika na kazi zote, za pale nyumban hii haina shida
lakini unapeleka kitoto cha mwaka huko nikumchosha mzazi
 
Kaenda mjini kutafuta mimba nyingine akirudi amuachie mama yake alee
 
KuMpelekee mama yako wajukuu tayari wameshakuwa wakubwa wanajitambua
Ambao wanaweza kushughulika na kazi zote, za pale nyumban hii haina shida
lakini unapeleka kitoto cha mwaka huko nikumchosha mzazi
Ndio yaani wengine ile miezi sita ikifika tu teyari kashaona fursa ya kumpelekea mama yake mtoto
 
Wew hujapeleka wako kwa mama yako
Hapana mama angu mkali sana tangu nipo mdogo nashuhudia dada angu akigombezwa na mama alibemenda mtoto mama akamwambia chukua mtoto wako maana wote hamna akili wewe na mumeo kipindi iko mm mdogo kwetu mm ndio wa mwisho alimpiga mpaka na stik anasema mm sio bibi kizee bibi kijana kila mtu abebe mzigo wake
 
Wakati uho wewe una majukumu ganu unatakiwa kujua maendeleo ya mwanao tangu akiwa mdogo mpaka anakuwa tengeneza bond na mtoto wako
Heri ni mpeleke mtoto kwa bibi yake siyo alelelwe na house girl never!!

Mimi siwezi mpeleka kama wao hawataki lakini kama wanahitaji naweza. Sitampeleka mtoto kwa sababu nilizotaja hapo juu vinginevyo saaa hivi angekuwa huko. Hapa nazungumzia mtoto anayejitabua tyr sio wa miaka3-4 hapana.

Hadi sasa wazazi wetu wanaishi na watoto wa watu baki tu hata shule hawasomi kwa sababu ya udebweto kuchunga kula na kucheza ndo furaha ya wazazi wetu ilibaki

Mzee wangu mimi alikuwa natabia ya kufuata kabisa watoto wa wadogo zake na tumeishi nao na wengine walisoma nasisi nk

Hadi leo huo mfumo anao sisi huwa tunakataa wenyewe tu maana mazingira haya support watoto kuwa kule...

Sioni kosa kabisa kama mimi wazee wangu wameniliwa vzr na wanahitaji kumlea mtoto ni sawa tu
 
Sawa ni vizuri ila mimi naongelea wale wazazi mtoto akisha acha kunyonya tu ana mpeleka kwa bibi yake haendi kumuona mtoto mpaka azidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…