mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Huu ndo msimamo wa wamama wote wa kichagga.Sitalea mjukuu kwa kuishi nae wakati wazazi wao wapo. Haitatokea. Maana mimi nimelea watoto wangu mwenyewe na nimeshajichokea sihitaji mzigo wa mtu
Watoto wako wana umri ganimajukumu tofauti mkuu, mie natoka sa 12 narudi sa nne
VishawishiKwanini wanaanzisha mahusihano wakiwa wanafunzi?
Inaleta sana maugomvi kwenye familia za watu, yaani kuna watu muda wote wanawaza mtoto wangu ataenda kwa flani, mbona wengine tulitulia Kwa wazazi wetu unasaidiwa ukiwa kwenu, mwishowe unaleta watoto wenye tabia za ajabu ajabu majumbaniHii mbaya na ndio mwanzo wa kugombana
Cha ndugu kione kama nyaa ukikona kiteme mate
Unakataa ndoa wakati huo huo unataka watoto? Maajabu haya jamani! Kuna mmojà alijifanya mjanja sana kuzaa na kumpeleka Kwa mama yake, mtoto kawa mkubwa kaenda kusomea Kwa baba yake mkubwa kumbe mtoto ni mwangalia pic za mapilau, wenzie wakilala ana amka kuangalia mpaka alivyokamatwamie ni mmoja wa kataa ndoa, naishi mwenyewe mtoto atahudumiwa vp mama mtoto n pasua kichwa siwez ishi nae
wacha aende kwa bibi yake tu (bibi yake sio wale wa wajukuu kudeka )
Bado haina mashikoVishawishi
Ni mbaya mkeo anavishwa ubaya sana hapoInaleta sana maugomvi kwenye familia za watu, yaani kuna watu muda wote wanawaza mtoto wangu ataenda kwa flani, mbona wengine tulitulia Kwa wazazi wetu unasaidiwa ukiwa kwenu, mwishowe unaleta watoto wenye tabia za ajabu ajabu majumbani
Ndiyo hivyo mtu badala awe na muda wakuhangaika na mambo yake anawaza malezi ya watoto wawenzie nyumbani sasa afadhali wawe hata wanampenda mke mwenyewe.Ni mbaya mkeo anavishwa ubaya sana hapo
Nitawanyoosha labda kama mke wangu awe na shid pahalaNdiyo hivyo mtu badala awe na muda wakihangaika na mambo yake anawaza malezi ya watoto wawenzie nyumbani sasa afadhali wawe hata wanampenda mke mwenyewe.
Hao watoto baba zao mara nyingi unakuta mama mtoto kazaa na mume wa mtu au mtoto amepatikana katika harakati tu za kufanya starehe sometimes hata baba halali wa mtoto anakua hajulikani.Navwewe baba mtoto unakubari iko kitu
C
Changamoto hii inawapa waliooa:-
1.wanawake wasomi
2.Wanawake wafanyakazi
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Wengi wanaopeleka watoto kwa mama zao wamelelewa kama yai, wamedekezwa na kuzoeshwa kufanyiwa kila kitu...madhara yake ndo hayo yanamrudia mzazi mwenyewe.Huu ndo msimamo wa wamama wote wa kichagga.
Naam, unatakiwa ujipange Sana lasivyo watoto watateseka. Mimi nilijipanga muda mrefu kwamba watoto nitaishi nao Mimi mwenyewe sikukurupuka. Nilijipanga haswaa na ndio maana nimeweza ila ukilala ukaamka na kuamua kuishi na watoto mwenyewe changamoto ni kubwaMbona mbwangali analea watoto wake mwenyewe na ni mwanaume na hana ndoa?
Ni mbaya sana hiyo mkuu, mtoto anakua hana ile attachment ya kihisia na mama yake.
Kuna uzi Robert Heriel Mtibeli alielezea kua baba/mama sio kua mzazi au sperm donor tu bali ni malezi, usitegemee mtoto atakupenda automatically ati kisa wewe ni baba/mama na kwenye malezi hukuwepo.
Wengi huishi kupretend kukupenda ili jamii isimshangae ila hisia juu ya mzazi anakua hana.
View attachment 3294892
Hapo mama yao yuko Sinza anauza nyapu, watoto wako Kazuramimba kwa bibi yao.
Kazuramimba! Umenikumbusha mbali Sana mkuuView attachment 3294892
Hapo mama yao yuko Sinza anauza nyapu, watoto wako Kazuramimba kwa bibi yao.
Unataka kusema nini mkuu?Kaka unauhakika na unayoyazungumza kwa picha hiyo?
Unawajua hao watoto kiukweli?
Au umetumia picha bila kuwajua wahusika!!