Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Uzuri ni kwamba hata yeye anajua Baba yake sipendi hilo jina, na kweli itabidi niwe namwambia awapuuze na kuto kukubali kuitikia hilo jinaUtakaapochukia ndio watu watakufanyia inda, hivyo ndio wengi wa binaadam walivyo, mühimu wewe ni kumwambia mtoto wako asiitikie akiitwa jina Hilo Maana sio lake, na wala asiwaambie msiniite, akiwakataza ndio watakapozidi, yeye ajifanye kiziwi akisikia jina hilo na kumfahamisha kwanini unachukia asiitwe hivyo na ushahidi kumionyesha.
Sasa hapa JF umeambiwa kuna hao wanaomwita hilo jina?? AU ndio matumizi ya bundle lako na keybord ya sim yako?Habari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Mkuu una mwanasheria?Sawa baba Zuchu tumekusoma...😜
Ujumbe wangu niweueleza vyema kabisa, sio vizuri kutunga majina ya hovyo kwa watoto wa watu. Kama kuna watu humu wana hiyo tabia, basi waache mara mojaSasa hapa JF umeambiwa kuna hao wanaomwita hilo jina?? AU ndio matumizi ya bundle lako na keybord ya sim yako?
Hakuna cha kufanya zaidi ya kuwaonya na kukataa hilo jina lizidi kuenea midomoni mwaoBaba Zuchu, sasa utafanyaje?
Asante lakini hapo ungeweka Zulfa ingefana zaidiPole ba Zuchu.....
Siwezi kuhama kwa sababu ya watu wachache wasio na adabuHama mtaa baba zuchu
Sasa utafanyaje?? Basi kubali kuwa baba Zuchu.Siwezi kuhama kwa sababu ya watu wachache wasio na adabu
Pole sana mkuu yatapita tu, achana nao, kuwa maweUjumbe wangu niweueleza vyema kabisa, sio vizuri kutunga majina ya hovyo kwa watoto wa watu. Kama kuna watu humu wana hiyo tabia, basi waache mara moja
Afadhali dula au side, lakini zuchu ni jina la hivyo kabisaPole sana ba zuchu. Ni kama tu sisi wengine hatupendi watoto wetu kuitwa chidi, dula, Suma, side nk.
Siwezi kubali kamweSasa utafanyaje?? Basi kubali kuwa baba Zuchu.
Hayatapita mpaka nitolee mmoja mfano, ili wengine wajifunzePole sana mkuu yatapita tu, achana nao, kuwa mawe