Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMuda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
Wahusika zingatieni hili ni muhimu hali ya uchumi ni tete muda ni mfupi au toeni mwelekeo!Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
NACTEVET inahitaji marekebisho, CEO yupo yupo tu hana lolote la maana analifanya. Inahitaji reform. Tunaanzia wapi kushinikiza/kuonesha mapungufu ,makubwa ya operation za NACTEVET.Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana.Hawajali kabisa masuala ya elimu na jinsi tunavyopoteza pesa kwa uzembe wao.
Hapa wanachelewesha matokeo na muhula unachelewa kuanza vile vile.
Kwa kweli kwa kada hizi za afya,muda huwa hautoshi.Kupoteza wiki mbili tu ni hasara kubwa mno kwa mwanafunzi.
Kama hawawezi kusahihisha upesi,kwa nini wasiongeze idadi ya wasahihishaji ama kutumia teknolojia inayotumika na NECTA?
Ulisikia wapi?Mtaala unaotumika ni wa Wizara ya Afya, Mtihani unatungwa na wizara ya Afya na matokeo yanatoka Wizara ya Afya.
Matokeo tanatolewa na Nactvet.Mtaala unaotumika ni wa Wizara ya Afya, Mtihani unatungwa na wizara ya Afya na matokeo yanatoka Wizara ya Afya.
Maswali ya kipuuzi huwa hayajibiwiUlisikia wapi?
Matokeo yanakuwa uploaded katika institutional panel ya NACTVET bwasheeMatokeo tanatolewa na Nactvet.
Usifundishe watu kazi vikao vya tathmini na uchambuzi bado vinaendelea. Per Diem @250,000/=Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
Siwafundishi, lkn wajue kuna watoto wanataka matokeo wajue moja! You have it, 250,000 per day...lazima wavute sana.... ingekuwa 50,000 per day hakuna ambaye angelikuwa bado yuko kwenye vikaoUsifundishe watu kazi vikao vya tathmini na uchambuzi bado vinaendelea. Per Diem @250,000/=
tuandike humu JF kwa wingi, fortunately enough samia na wenzake wanapita humuNACTEVET inahitaji marekebisho, CEO yupo yupo tu hana lolote la maana analifanya. Inahitaji reform. Tunaanzia wapi kushinikiza/kuonesha mapungufu ,makubwa ya operation za NACTEVET.